DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Raila ataenda kuapishwa chattle
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utasemaje kwa jamii ya Shona inatawala Zimbabwe na Jamii ya Tigrinya inayotawala Ethiopia? Sisi waMeru hawa waKikuyu ndio cousins wetu wa karibu sana na wana mifano mingi sana inafaa kuigwa.I'd rather be led by dynamic ,hardworking people anyday.Nashangaa sana unasema ubinafsi wa waKikuyu lakini huoni ubinafsi mkubwa wa kupindukia wa Raila Amolo Odinga.Wakikuyu wameibinafsisha Kenya kuwa mali yao. Mnh..
Jamii zenye tabia ka za hawa wakikuyu hazifai kutawala..ubinafsi wa kupindukia..
Odinga amegombea na kushindwa hii ni mara ya tatu. Magu kawabana huku, mmeamua kujiconsole na kushindwa kwa Raila.Wacha achukue kosa kubwa ni RAO kuchukua maneno ya wabongo wasio na shule kwamba atafanya kama baba yake zero brain. Kumbe kule kwao ni Wasomi wanachuja kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana yule aliyefanya hija kule Chato kashindwa?
Odinga amegombea na kushindwa hii ni mara ya tatu. Magu kawabana huku, mmeamua kujiconsole na kushindwa kwa Raila. Nyumbu kweli mmeishiwa.
Namwona katibu mwenezi wa odm tanzania.
and its done.....what next for NASA??Still waiting..........
Odinga was this his last chance???nobody knows................
will he contest next time???lets wait.............
No,no hapana hii ni mara ya nne - 1997 ,2007 ,2013 na sasa 2017 ameshindwa tena.Odinga amegombea na kushindwa hii ni mara ya tatu. Magu kawabana huku, mmeamua kujiconsole na kushindwa kwa Raila. Nyumbu kweli mmeishiwa.
Shauri ya lenyewe, nyoko! Watu wanaleta ujinga kwa nchi za watu! Asante YESU kwa kutuokoa! UHURUTO Pigeni kazi wadau wetu!Sijui Sizonje atajisikiaje?? [emoji276] [emoji276]
Sent From Kisana Kiki Iphone
![]()
![]()
![]()
![]()
========
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati aemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa Mshindi wa kiti cha Urais.
Rais Mteule Uhuru Kenyatta kutoka Chama Cha Jubilee ametangazwa kuwa Mshindi baada ya kupata kura 8,203,290 huku mpinzani wake Raila Odinga kutika Muungano wa Upinzani(NASA) akipata kura 6,762,224.
Uhuru Kenyatta amepata asilimia 54.27 ya kura zote pia ni sawa na asilimia 25 ya kura za kutoka katika Kaunti 35.
Kwa kura zilizopigwa nje ya Kenya Uhuru Kenyatta amepata 52.88% huku Raila Odinga akipata 46.45% ya kura, na Nyaga 0.07%.
- Nairobi County, Uhuru: 48.55% Raila: 50.85%, Nyaga: 0.18%. Total votes: 2,251,929.
- Kisumu County, Uhuru:1.96% Raila: 96.64%, Nyaga: 0.27%. Total votes: 539932.
- Homabay County, Uhuru: 0.49% Raila: 99.34%, Nyaga: 0.11%. Total voters: 496432.
- Chebukati: Siaya County, Uhuru: 0.66% Raila: 99.11%, Nyaga: 0.14%. Total votes: 459957.
- Kilifi County, Uhuru: 15.12% Raila: 83.63% Total votes: 32783.
- Busia County, Uhuru: 12.42% Raila: 86.82%, Nyaga: 0.31%. Total votes: 351087.
- Bungoma County, Uhuru: 30.21% Raila: 68.3%, Nyaga: 0.49%. Total votes: 559886.
- Vihiga County, Uhuru: 9.12% Raila: 89.39%, Nyaga: 0.59%. Total votes: 272217.
- Bomet County, Uhuru: 87.04% Raila: 12.06%, Nyaga: 0.27%. Total votes: 322024.
- Kericho County, Uhuru: 92.78% Raila: 6.61%, Nyaga: 0.12%. Total votes: 375691.
- Kajiado County, Uhuru: 57.15% Raila: 42.42%, Nyaga: 0.22%. Total votes: 411267.
- Narok County, Uhuru: 52.98% Raila: 45.88%, Nyaga: 0.67%.Total votes: 341761.
- Nakuru County, Uhuru: 84.74% Raila: 14.69%, Nyaga: 0.21%. Total votes: 941971.
- Laikipia County, Uhuru: 89.11% Raila: 10.37%, Nyaga: 0.15%.Total votes: 246693.
- Baringo County, Uhuru: 84.78% Raila: 14.57%, Nyaga: 0.13%. Total votes: 232311.
- Nandi County, Uhuru: 86.84% Raila: 12.49%, Nyaga: 0.18%.Total votes: 346182.
- Makueni County, Uhuru: 8.24% Raila: 90.57%, Nyaga: 0.52%. Total votes: 423434.
- Elgeyo Marakwet County, Uhuru: 94.63% Raila: 4.85 %, Nyaga: 0.10%. Total votes: 180979.
- Meru County, Uhuru: 88.82% Raila: 10.23%. Total votes: 702,776.
- Machakos County, Uhuru: 17.95% Raila: 80.91%, Nyaga: 0.66%. Total votes: 620363.
- Tharaka Nithi County, Uhuru: 93.15% Raila: 5.93%. Total votes: 213197.
- Embu County, Uhuru: 92.01% Raila: 6.99%, Nyaga: 0.02%. Total votes: 309731.
- Kitui County, Uhuru: 17.98% Raila: 79.90%, Nyaga: 0.06%.
- Uasin Gishu County, Uhuru: 77.79% Raila: 21.19%, Nyaga: 0.29%. Total votes: 540159.
- Transzoia County, Uhuru: 44.60% Raila: 54.22%, Nyaga: 0.42%. Total votes: 339715.
- Samburu County, Uhuru: 49.64% Raila: 49.44%, Nyaga: 0.30%. Total votes: 82794.
- West Pokot County, Uhuru: 64.61% Raila: 34.50%, Nyaga: 0.32%. Total votes: 188241.
- Turkana County, Uhuru: 38.91% Raila: 59.87%, Nyaga: 0.42%. Total votes: 191495.
- Wajir County, Uhuru: 50.98% Raila: 44.15%.
- Mandera County, Uhuru: 82.88%, Raila: 13.25%.
- Marsabit County, Uhuru: 83.63%
Raila: 14.44 %. Total votes: 141730.
- Kirinyaga County, Uhuru: 98.61%
Raila: 1.03%, Total votes: 479970.
- Nyeri County, Uhuru: 98.35% Raila: 1.20%, Nyaga: 0.05%. Total votes: 457197.
- Nyandarua County, Uhuru: 98.99% Raila: 0.79%, Nyaga: 0.04%. Total votes: 325696.
Chebukati: Tumejifunza mengi kwenye uchaguzi huu ambayo yataimarisha uwezo wetu. Nawashukuru watu wa Kenya, washika dau wetu wa kwanza. Wafanyakazi wetu nchi nzima na familia zao.
- Machakos County, Uhuru: 17.95% Raila: 80.91%, Nyaga: 0.66%. Total votes: 620363.
Kwa waangalizi wa kimataifa, tunawashukuru kwa kutuunga mkono, Uchaguzi wa 2017 ulikuwa wa haki, tunawashukuru waangalizi kwa ripoti zao za awali. Tunawashukuru kwa uvumilivu wakati tunatoa matokeo kwa hatua.
Wapiga kura waliongea tarehe nane mwezi wa nane na sasa tuko tayari kusema walichoamua.
Nimeambiwa matokeo yanatakiwa kusainiwa, asanteni kwa kuniskiliza na nitarejea kutangaza matokeo.
--------
Mawakala wameshasaini fomu za matokeo na sasa mwenyekiti Chebukati anaweka sahihi kwenye fomu ya matokeo. Hatua ya sasa ni mwenyekiti kuendelea na kutangaza matokeo.
--------
Chebukati: Naomba mniruhusu niendelee na hotuba yangu, kwa mujibu wa nguvu zilizowekwa kwangu na katiba, naomba niwatangazie matokeo.
======
President Uhuru Kenyatta has won a second term in office, garnering 54.2 per cent of votes, according to final results declared by the electoral commission on Friday night.
Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) Chairman Wafula Chebukati declared Mr Kenyatta the winner of the presidential race at exactly 10.17pm EAT.
“He attained 25 percent of votes cast in 35 counties ” Mr Chebukati, the returning officer of the presidential election, said at Bomas of Kenya— the national tallying centre, in the capital Nairobi
The announcement was met with celebrations in the strongholds of Mr Kenyatta’s party, Jubilee, and protests amongst some Nasa supporters.