Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua kibaki alikua mpinzani aliposhinda?na uhuru kashinda mara ya kwanza akiwa mpinzani.usifananishe kenya na upuuzi wenu.raila lost the election but he won democracy for kenyans.mchakato ulikua wa wazi mno na he was given chance to verify.Kenya is far ahead kwa nchi zetu hizi kwenye democracy.Ushauri wangu kwako shiba kabla hujacommentKagame (Rwanda), Mkurunziza (Burundi), Museven (Uganda), Ngosha (Tanzania) na Uhuru (Kenya). Ndiyo wale wale kila awamu.... 😀😀😀😀😀
East Africa Katu Haitotawaliwa na Mpinzani coz Watawala wanasaidiana maujanja... 2020 obviously ni CCM tena.
Ujinga huu, utadanganya nyumbu, hii picha imepigwa wakati Magufuli ni waziri na hana MAWAZO ya kuwa Raisi.
Huna aKili wewe tatizo wafuatiliaji wa siasa humu wengi wa juzi baada ya 2015 huyo Odinga kama Maalim Seif tuu miaka yote wa kushindwa hadi anazeeka..alianza kugombea hata kabla JPM hajawa vizuri kwenye ramani ya siasa tzLaana ya mateso ya jirani imekuwa na athari kubwa kwa jaluo!! Anayeshirikiana na mtesi hajawahi kuwa salama !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na Raila kushinda Nairobi, bado Ugavana umeenda kwa "Bishoo" Sonko wa Jubilee!
Kingereza kimetulia.....upande wa pili tumeona "pongezi" zilizojaa povu la kiswahili....
Kingereza kimetulia.....upande wa pili tumeona "pongezi" zilizojaa povu la kiswahili....
Unamaanisha Yohana mbatizaji wa moto? Sio tabu tukutane Zimbabwe.Ndiyo maana huwa ni vema sana kuchunguza kwa kina neno kabla ya kulitamka...Sasa sijui yule aliemwita Raila Rais ....tena mbele Kenyatta ambaye ndiye aliekuwa Rais....nadhani anatafuta maneno ya kuandika anakosa kabisa...