Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Uhuru Kenyatta wins Kenya's 2017 General Election. Delivers his speech to thank all Kenyans...

Raila akapumzike CHATO APIGANE NA HALI YAKE.Hakuna namna ya kumsaidia!
 
Kagame (Rwanda), Mkurunziza (Burundi), Museven (Uganda), Ngosha (Tanzania) na Uhuru (Kenya). Ndiyo wale wale kila awamu.... 😀😀😀😀😀
East Africa Katu Haitotawaliwa na Mpinzani coz Watawala wanasaidiana maujanja... 2020 obviously ni CCM tena.
 
Kagame (Rwanda), Mkurunziza (Burundi), Museven (Uganda), Ngosha (Tanzania) na Uhuru (Kenya). Ndiyo wale wale kila awamu.... 😀😀😀😀😀
East Africa Katu Haitotawaliwa na Mpinzani coz Watawala wanasaidiana maujanja... 2020 obviously ni CCM tena.
unajua kibaki alikua mpinzani aliposhinda?na uhuru kashinda mara ya kwanza akiwa mpinzani.usifananishe kenya na upuuzi wenu.raila lost the election but he won democracy for kenyans.mchakato ulikua wa wazi mno na he was given chance to verify.Kenya is far ahead kwa nchi zetu hizi kwenye democracy.Ushauri wangu kwako shiba kabla hujacomment
 
Raila.jpm_.orange.jpg
Ujinga huu, utadanganya nyumbu, hii picha imepigwa wakati Magufuli ni waziri na hana MAWAZO ya kuwa Raisi.
Upinzani bongo mmefulia sana awamu hii, sasa hivi mnataka Twitter ya JPM akimpongeza UK, akipongeza mtamwita mnafiki, hovyo kabisa.
 
f0d11837d6da57154a5c052dbbd26de8.jpg


Hali ya Kisumu hadi sasa si nzuri. Vurugu zinaendelea na Vyombo vya Habari havitaki kuongelea kabisa
 
Laana ya mateso ya jirani imekuwa na athari kubwa kwa jaluo!! Anayeshirikiana na mtesi hajawahi kuwa salama !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna aKili wewe tatizo wafuatiliaji wa siasa humu wengi wa juzi baada ya 2015 huyo Odinga kama Maalim Seif tuu miaka yote wa kushindwa hadi anazeeka..alianza kugombea hata kabla JPM hajawa vizuri kwenye ramani ya siasa tz
 
Hunger sana to Uhuru and to all Kenyans... Well done...🙂🙂🙂
 
Ila bado chaguzi za Kenya ni za kikabila zaidi. Ukiangalia matokeo toka counties yanaonyesha wazi kabisa. Wagombea wanaokaribiana sana hawatofautiani kiivyo. Yaani unakuta Raila 98% , Uhuru 1.7% au kinyume chake. Kwa matokeo hayo ya jumla tungeona hata kwenye counties ni hivyo hivyo. Magufuli na Lowasa hakuna jimbo walilotofautiana zaidi ya 40% . yaani ilikuwa maximum ni 70% to 30% sehemu chache sana.
Kenya mambo ya ukabila yamepitwa na wakati
 
Kilicho baki sasa ni kwa wakenya wote kushikamana pamoja,
 
Hongera Kwa chama Tawala huko Kenya na Kwa Uhuru pia
 
Lowassa.PNG

Mjumbe wa kamati kuu ya ya CHADEMA Edward Lowassa amekuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kumpa pongezi nyingi mshindi wa kiti cha urais nchini Kenya Uhuru Kenyatta.

Itakumbukwa Lowassa alipanda ndege hadi nchini Kenya kumpigia chapuo Uhuru Kenyatta ambaye pia ni rais wa sasa wa nchi hiyo.

Lowassa amewahi kujitokeza hadharani mara nyingi akitangaza kumuunga mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi uliohitimishwa kwa Kutangazwa mshindi rais Uhuru Kenyatta. Soma; Lowassa: Ninamuunga Mkono Kenyatta na nipo tayari kutoa msaada wakati wowote

Bila shaka siku ya kuapishwa mh Lowassa atakuwa miongoni mwa wageni wa heshima kabisa kwa kazi aliyoifanya ndani na nje ya Kenya.
 
Ndiyo maana huwa ni vema sana kuchunguza kwa kina neno kabla ya kulitamka...Sasa sijui yule aliemwita Raila Rais ....tena mbele Kenyatta ambaye ndiye aliekuwa Rais nadhani anatafuta maneno ya kuandika anakosa kabisa....
 
Nimefurahi sana kuona Lowasa amekubali na amejjionea wazi jinsi wapinzani walivyo na visingizio vya kuibiwa kura au kudokulewa kwa Matokeo.
Nampongeza sana Lowasa kwa kudhihirisha wazi kuwa wapinzani huwa waongo sana na huwa hawakubali kushindwa.
 
Ndiyo maana huwa ni vema sana kuchunguza kwa kina neno kabla ya kulitamka...Sasa sijui yule aliemwita Raila Rais ....tena mbele Kenyatta ambaye ndiye aliekuwa Rais....nadhani anatafuta maneno ya kuandika anakosa kabisa...
Unamaanisha Yohana mbatizaji wa moto? Sio tabu tukutane Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom