Hivi unaelewa mipaka ya Zanzibar kwenye 1883 au unasema tu ,na ndio pale nilisema kuwa wengine mnavamia mambongwa ,hivi unataka kutuambia kuwa Waafrika ni watu weusi tu ? unaionaje Afrika ya kaskazini Afrika ya Magharibi au kwako wale ni mazeruzeru ? Hivyo wana matatizo ya ugonjwa wa ngozi ?..Zanzibar maana yake ni NCHI YA WATU WEUSI -- WAAFRIKA.
..sasa iweje mtawala wa mtu mweusi awe Sultani mwenye asili ya Oman?
..wanaotaka kuhalisha Usultani mwisho wake watahalalisha hata biashara ya Utumwa.
Spear,
Mkuu inatisha sana,lakini hii ni recreation ya matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar au mimi ndio sielewi maanake naona filamu ni ya rangi (color) na very clear tofauti na utaalam wa filamu uliokuwepo mwaka 1964..