Na ukweli ni kwamba mapinduzi yale hayakumkusudia mfalme bali malengo yalikuwa ni kwa hizbu/zppp. Kuanzia mfalme mpaka mawaziri wake binafsi hakuna hata mmoja alieathirika na mapinduzi yale wote walifika U.K salama lakini hizbu waliuliwa na wengine walifungwa vifungo virefu (alopata miaka10,20 wengine wakafia humo humo majela. na wananchi wapatao 20000 walouliwa walikuwa ni hizbu/zppp.
kumbukeni yale maneno ya Mwalimu Nyerere aliposema "Mkoloni alitaka kuwachia nchi hizbu" hii inaleta picha safi tu kwamaba mapinduzi yale yalikuwa ni kwa hizbu.
kumbukeni yale maneno ya Mwalimu Nyerere aliposema "Mkoloni alitaka kuwachia nchi hizbu" hii inaleta picha safi tu kwamaba mapinduzi yale yalikuwa ni kwa hizbu.