Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

Na ukweli ni kwamba mapinduzi yale hayakumkusudia mfalme bali malengo yalikuwa ni kwa hizbu/zppp. Kuanzia mfalme mpaka mawaziri wake binafsi hakuna hata mmoja alieathirika na mapinduzi yale wote walifika U.K salama lakini hizbu waliuliwa na wengine walifungwa vifungo virefu (alopata miaka10,20 wengine wakafia humo humo majela. na wananchi wapatao 20000 walouliwa walikuwa ni hizbu/zppp.

kumbukeni yale maneno ya Mwalimu Nyerere aliposema "Mkoloni alitaka kuwachia nchi hizbu" hii inaleta picha safi tu kwamaba mapinduzi yale yalikuwa ni kwa hizbu.
 
Spear,
Mkuu inatisha sana,lakini hii ni recreation ya matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar au mimi ndio sielewi maanake naona filamu ni ya rangi (color) na very clear tofauti na utaalam wa filamu uliokuwepo mwaka 1964..
 
..Zanzibar maana yake ni NCHI YA WATU WEUSI -- WAAFRIKA.

..sasa iweje mtawala wa mtu mweusi awe Sultani mwenye asili ya Oman?

..wanaotaka kuhalisha Usultani mwisho wake watahalalisha hata biashara ya Utumwa.
Hivi unaelewa mipaka ya Zanzibar kwenye 1883 au unasema tu ,na ndio pale nilisema kuwa wengine mnavamia mambongwa ,hivi unataka kutuambia kuwa Waafrika ni watu weusi tu ? unaionaje Afrika ya kaskazini Afrika ya Magharibi au kwako wale ni mazeruzeru ? Hivyo wana matatizo ya ugonjwa wa ngozi ?
Kama Obama anajilabu kuwa ameleta demokrasia kwa mwafrika kuongozaa nje ya Afrika basi muelezeni kuwa demokrasia hiyo ilianza Zanzibar. Na nyie mnaokwenda kwa kuongoza njia bila ya kujua mnakoelekea mnatakiwa mulielewe hili ,bado hamkjanijibu ni nani alipanga mapinduzi ? Ili kujua waliopindua na waliopinduliwa au waliopinduana.
 
I think Mapinduzi superceeded the Uhuru of Zanzibar, otherwise we have to commemorate a lot of uhuru days, e.g. uhuru from Arabs, German, and Britons. Uhuru when we re-enter into multpartism even though only 20% had voted in favour. Uhuru when we ousted Idd Amin etc.
Anyway the idea is open for discussion.
 
Spear,
Mkuu inatisha sana,lakini hii ni recreation ya matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar au mimi ndio sielewi maanake naona filamu ni ya rangi (color) na very clear tofauti na utaalam wa filamu uliokuwepo mwaka 1964..

Hii film ni genuine and is well documented, nenda kwenye google video halafu google AFRICA ADDIO utaona mpaka uasi wa jeshi Tanganyika 1964.
 
Back
Top Bottom