i ?
Zanzibar ilikuwa haina cheo cha Raisi wakitumia Prime Minister kama Uingereza ,hivyo wakizuka WaZanzibari wakidai cheo cha Uraisi kiondoshwe na kirudishwe cha Cheo cha Sultani na kiwepo kama nembo ya Zanzibar basi hawatakuwa wageni tutaweka ukoo wa Karume uwe ndio unaotoa Masultani na Maprincess wa Zanzibar wakikataa tutautafuta ule ukoo wa Masultani wa mwanzo kama upo tutaushauri kama utakubali kuendeleza Sultanates of Zanzibar ,ikiwa haupo basi DNA test itafanyika Zanzibar nzima kuona kama yupo mwenye kauhusiano na Sultani wa Zanzibar.