Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar

i ?
Zanzibar ilikuwa haina cheo cha Raisi wakitumia Prime Minister kama Uingereza ,hivyo wakizuka WaZanzibari wakidai cheo cha Uraisi kiondoshwe na kirudishwe cha Cheo cha Sultani na kiwepo kama nembo ya Zanzibar basi hawatakuwa wageni tutaweka ukoo wa Karume uwe ndio unaotoa Masultani na Maprincess wa Zanzibar wakikataa tutautafuta ule ukoo wa Masultani wa mwanzo kama upo tutaushauri kama utakubali kuendeleza Sultanates of Zanzibar ,ikiwa haupo basi DNA test itafanyika Zanzibar nzima kuona kama yupo mwenye kauhusiano na Sultani wa Zanzibar.
Jamaa zake huyo sultan wa mwisho hapo Zenj, wanapokea mishahara kila ya mwezi, na kumbuka kuwa Dr. Salmin(Komandoo) alishatoa msamaha kwa sultan. Lakini hii haimaanishi kuwa uhuru bendera una tambulika
 
Mwiba said:
Hakuna Sultani(Mfalme) alietokea alikotokea na kujitwalia madaraka ,ikiwa unataka ieleweke hivyo ni lazima uonyeshe (Fact) ni nani alikuwa Mtawala kabla ya Sultani kujitwalia madaraka. tafuta sababu za kuwepo kwa Sultani hapo Zanzibar.

Mwiba,

..kama ambavyo Waarabu hawawezi kutawaliwa na Mangi wa Uchagani[muafrika], hivyo hivyo Waafrika nao si ruksa kutawaliwa na Sultani.

..kama una shida sana na Sultani bora ukahamia Oman alikotokea Sultani Mwarabu.
 
JokaKuu,

Kwani Seif ni Mwarabu?? na Issa Shifji je?? na Salim Ahmed Salim je??

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya ndugu yangu!
 
...Mkuu Mzalendo, naamini JokaKuu anazungumzia haikuwa haki Zanzibar kuendelea kutawaliwa na Sultani wa Oman 🙂
 
...Mkuu Mzalendo, naamini JokaKuu anazungumzia haikuwa haki Zanzibar kuendelea kutawaliwa na Sultani wa Oman 🙂
Hivi mnamaanisha Yule wa Uingereza anaitawala Uingereza ? Mbona kuna Gordon pale ?
Mkataeni Gadafi maana ni muarabu vilevile kataeni na mitume na manabii ,hamuwezzi kuiamulia Zanzibar mambu yake kama wakiamua kuweka Sultani basi yeyote akiwa mweusi au mweupe hayo ni hiari yao kama walivyoamua kwenye dizeli ndio hivyo hivyo kwenye ya taa.
 
Bado jokakuu, hujaniambia Muafrika ni nani!
Amma kutawala Mchaga Omani lina sura ya kibaguzi, mbona Mjaluo anayetawala Umarekani hamkupinga?
Sultani wa Unguja si Muomani, ni mzanzibari wa karibu karne mbili, hivi hujui lini wachaga waliingia Moshi, ni karibu zaidi kuliko washirazi kuingia Unguja.

Nionavo si Usultani ( kwani huwaoni Makarume wapokeyanavyo!), wala sio Uarabu bali ni UDINI tu!
 
Kati ya Jamshed na karume nani hakuwa Mzanzibari?

Karume alizaliwa kwao Malawi na Jamshed hata babu yake alizaliwa Zanzibar. Na pia ni mjukuu wa Bimatuka
 
Mwiba,

..kama ambavyo Waarabu hawawezi kutawaliwa na Mangi wa Uchagani[muafrika], hivyo hivyo Waafrika nao si ruksa kutawaliwa na Sultani.

..kama una shida sana na Sultani bora ukahamia Oman alikotokea Sultani Mwarabu.
Navutiwa sana na michango yako mkuu. Katika mtiririko wa mada hii naomba definitions za haya-Muafrika, Mwarabu, Mhindi, Mngazija, Mshirazi, na Mzanzibari. Zote hizo ziwe katika hadidu rejea ya Zanzibar kama ni nchi kamili. Tafadhali-msaada wa mawazo!!!!!!
 
JokaKuu,

Kwani Seif ni Mwarabu?? na Issa Shifji je?? na Salim Ahmed Salim je??

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya ndugu yangu!
Hapo ndipo lilipo tatizo lenu. Na linatokea mbali hili. Alianza Karume (Mkubwa) na nyimbo zake za Uafrika. Kumbe alichotakiwa kuimba pale ni U-zanzibari. sasa tumsamehe Karume(Mkubwa) na tuanze kuimba U-zanzibari. Seif Hamad ni Mzanzibari siyo Mwarabu. Nahodha ni Mzanzibari siyo Mmakunduchi,Juma Duni ni Mzanzibari siyo Mtumbatu, Raza ni Mzanzibari siyo Mhindi kabacholi,Du! Mapuri ni Mzanzibari siyo Mzanzibara. Enhe.
 
Kati ya Jamshed na karume nani hakuwa Mzanzibari?

Karume alizaliwa kwao Malawi na Jamshed hata babu yake alizaliwa Zanzibar. Na pia ni mjukuu wa Bimatuka
Kwa mujibu wa sheria ya hivi sasa ya U-Zanzibari wote hao walikuwa Wazanzibari. Nafikiri historia iwaweke hivyo. Tuwaheshimu -ni Wazanzibari. Hiyo ndiyo evolution hiyo ndiyo sociology au unataka kuniambia Obama siyo Mmarekani?
 
Hivi mnamaanisha Yule wa Uingereza anaitawala Uingereza ? Mbona kuna Gordon pale ?

...mtawala wa United Kingdom ni Malkia Elizabeth (wa pili). Gordon Brown, kama ilivyokuwa kwa Tony Blair, Maggie Thatcher na hata Winston Churchill na wengineo ni viongozi tu wa serikali ya Malkia.
In theory her powers are vast; however, in practice, and in accordance with convention, she rarely intervenes in political matters.

Mkataeni Gadafi maana ni muarabu

...Uarabu sio kigezo cha kukataliwa au kupewa utawala, na mwenye mawazo hayo ni muflisi wa mawazo. Asili ya kukataliwa Usultani Zanzibar ni utawala wa kidhalimu hasa dhana ya u-bwana na u-twana.

...BTW; una habari Ghaddafi keshajipachika ufalme wa wafalme wa Afrika? soma;

Libya's Gaddafi hurls insults at Saudi king

March 31, 2009

Maverick Libyan leader Muammar Gaddafi stole the show at Monday's Arab summit, insulting Saudi King Abdullah and proclaiming himself "king of kings of Africa" before storming out to visit a museum.

source; Libya's Gaddafi hurls insults at Saudi king | theage.com.au

...tuyaache ya Ghaddafi na 'njozi' zake...

vilevile kataeni na mitume na manabii

...la hasha, haijalishi mtume awe muarabu au myahudi, kumkataa Mtume (S.A.W) na mitume (R.A) ni kukataa/kupingana na mafundisho ya mw'mungu.

hamuwezzi kuiamulia Zanzibar mambu yake kama wakiamua kuweka Sultani basi yeyote akiwa mweusi au mweupe hayo ni hiari yao kama walivyoamua kwenye dizeli ndio hivyo hivyo kwenye ya taa.

...sawa, sanduku la kura kila baada ya miaka mitano ndio msemakweli, 🙂 Sultanate of Zanzibar (via Sultanate of Omani 1806 de facto dynasty!)
 
Kwa mujibu wa sheria ya hivi sasa ya U-Zanzibari wote hao walikuwa Wazanzibari. Nafikiri historia iwaweke hivyo. Tuwaheshimu -ni Wazanzibari. Hiyo ndiyo evolution hiyo ndiyo sociology au unataka kuniambia Obama siyo Mmarekani?

Sasa kama wote walikuwa Wazanzibari je ubandia wa Uhuru wa 63 unakuja wapi?
 
Inaonyesha hukumfahamu Gadafi ,hebu soma mara mbili tatu hiyo mistari ambayo akimlemeza dongo Mfalme wa Saudia ,jamani kila siku mnaambiwa muytazame maandiko na misemo kwa kina sio mnarukia tu ,Gadafi yupo sawa kabisa kwa maana ya kiutawala yeye ni Mkuu wa Nchi za Afrika wakati Fahad ni Mkuu wa Saudia pekee(Ni Nchi moja tu) Hivyo Colonel Gadafi ana madaraka zaidi ya Fehdi ,jamani hata lugha ya kujilabu inawatatiza.
 
Sasa kama wote walikuwa Wazanzibari je ubandia wa Uhuru wa 63 unakuja wapi?
Ubandia unakuja kwa sababu Waingereza waliichukua Zanzibar kama ni Protectorate kwa Wafalme(Masultani) na wakairejesha kwa Wafalme (Masultani) 1963 siyo kwa Wazanzibari . Huo ni uhuru ubandia Hapo juu nilikueleza kuwa Jemshid kama ni mtu binafsi ni Mzanzibari lakini kama Sultani basi ni Sultani.
 
Hivi Manjo nae alishiriki kurejeshewa Jamshid Usultani? maana naye alishiriki Uchaguzi wakumrejesha sultani!
Wacheni kuvurumisha, Karume hakuwa Mzanzibari, na alifunguliwa kesi kukanya, ila vibraka vya Mwera vikaapa kumthibitisha!

Someni Historia, vinginevyo mtakujajituhumu uhalali wenu.
 
Kwa mujibu wa sheria ya hivi sasa ya U-Zanzibari wote hao walikuwa Wazanzibari. Nafikiri historia iwaweke hivyo. Tuwaheshimu -ni Wazanzibari. Hiyo ndiyo evolution hiyo ndiyo sociology au unataka kuniambia Obama siyo Mmarekani?

Tatizo si Usultani wala Uarabu. Ni kama alivyocchangia mmoja wetu .Ni dini Tu. Wengine hawajijui kama wanatumiliwa kwa maslahi ya kidini.
Kama rangi zaidi ya weusi ndio utanzania mbona tunajilabu kwa wazungu walio na historia na Tanzania? Si sisi Watanzania tulijilabu kwa mke wa Gordon Brown aliyetumia sehemu ya utoto wake hapa Tanzania? Si sisi Watanzania tuliojilabu kwa yule muhindi aliechaguliwa White House kwa kuwa wazee wake walikaa Tanzania na yeye kutumia sehemu ya utoto wake hapa Tanzania? Na ni juzi tu hapahapa kwenye forum tulijisifia kwa yule mwandishi alieachiwa.
Halafu mbona huko Omani mnakosema wako weusi walio kwenye madaraka kama rangi ni ukabila au taifa?.
 
Ubandia unakuja kwa sababu Waingereza waliichukua Zanzibar kama ni Protectorate kwa Wafalme(Masultani) na wakairejesha kwa Wafalme (Masultani) 1963 siyo kwa Wazanzibari . Huo ni uhuru ubandia Hapo juu nilikueleza kuwa Jemshid kama ni mtu binafsi ni Mzanzibari lakini kama Sultani basi ni Sultani.

Sasa ndio unasema nini? walirejesha kwa masultan je hao masultan hawakuwa wazanzibari? Na kungekuwa na ubaya gani nchi kuongozwa kifalme? U.K, UAE, Saudia, Jordan, Spain, Sweden, Kuwait, Oman, Holland zote hizi zinaongozwa kifalme tatizo ni nini? na Canada na Australia mpaka leo bado zipo chini ya himaya ya Malkia wa U.K napo pia tatizo liko wapi?
 
Tatizo eti Sultani akiwa Muisilamu!
Hivi Machifu yabara si usultani?
 
Natulingaishe madhalimu ya Jamshid, Mzawa wa Unguja baada ya Uhuru na madhalim ya Karume mmalawi, baada ya Mapinduzi matukufu!

Natuanze kwanza na Mauwaji. Jamshid au babake Abdalla au babu yake Khalifa, wameuwa wangapi na Karume kauwa wangapi?

Naanza tu, Karume kamuuwa makamo wake KassimHanga, ........................................
 
Na je Uhuru wa Tanganyika pia ulikuwa bandia? hata baada ya uhuru 61 bado waliendelea kuwa chini ya Malkia huku Nyerere akiwa waziri mkuu au hili hamlijui? sasa twambieni uhuru wa mtanganyika ulikuja 61 au 62?
 
Back
Top Bottom