Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?


Ahaaa haaa haaa
When my friend becomes a friend of my enemy.

We may heteroscedastically conclude that:
H0: The enemy of my enemy is my friend.
H1: The friend of my enemy is my enemy.
 
Umekuwa kama bavicha, tofauti yako ya pekee na wao ni unatetea nchi yako iko ubongo mnafanana.
 
Reactions: Oii
Pesa za ndani zipi hizo? Acheni kudanganya watu, kila siku deni la taifa linazidi kupaa kwa spidi kubwa mnakuja na hadithi zenu. Kila siku anakopa na hataki watu wajue!!

Ahaaa haaa haaa
Kama hataki tujue wewe umejuaje?
 
Kwani mbowe alikuwa mgombea urais?

Uliza hivi kweli tz jpm na Lowasa wanaweza?

Jibu ni ndio wanaweza Sana tu
 
Hemu weka chanzo cha taarifa, au nyie wakenya mnapika hizo taarifa tu..... pia tatizo sio chanzo tu. Je wananchi wa kenya wanapata social services au bado wanakula msoto huko kibera ..
Akikujibu huyo mungiki nitag
 
Taja sekta moja iliyokauka.
 
Kodi ya ndani hutumika Kwa mambo muhimu zaidi huku Kenya, Kwa mfano bajeti ya Elimu mwaka huu Kwa mara ya Kwanza itapita $4B... Ukilinganisha na Tz bajeti ya Elimu haifiki hata $1B... Kama Kenya pia ingetumia < $1B hapo kwa Elimu tayari tungekua na $3B extra za kujenga SGR!!!!
 
Ukikuta wanyama wote mpaka simba na swala wapo pamoja ujue ni ukame ndio umewakutanisha

Siasa mbovu sana hizi, yaani viongozi waishi kwa kuonana kama simba na swala...mtabaki kuwa maskini kwa muda mrefu sana mkiendekeza siasa za kihivyo, ifike hatua muweke utaifa mbele.
 
Taja sekta moja iliyokauka.

Tatizo lenu kubwa wazembe wa kusoma, ipitie ripoti ya CAG, japo kwa mlivyo wavivu sidhani hata kama utadiriki kusoma ukurasa mmoja.
 
Reactions: BAK
Kweli kabisa..... Makenya majinga kweli, kazi kupiga makelele.... walio kamata uchumi + kufaidi matunda ya nchi yao ni wageni.. maghorofa mengi Nairobi yanamililiwa na wageni,

Tanzania tupo vizuri sana.
Hebu tupatie mifano ya hayo magorofa yanayo milikiwa na wazungu
 
Kwani mbowe alikuwa mgombea urais?

Uliza hivi kweli tz jpm na Lowasa wanaweza?

Jibu ni ndio wanaweza Sana tu

Lowassa yule mmoja aliyebabaishwa hadi 'akarudi' nyumbani....
Itakuchukua muda mrefu kuelewa ninachozungumza kuhusu hapa.
 




Naivasha to Kisumu, kisumu is the home town of Raila Idinga why then he should not support Uhuru in the course?!😁😁
 
Siasa mbovu sana hizi, yaani viongozi waishi kwa kuonana kama simba na swala...mtabaki kuwa maskini kwa muda mrefu sana mkiendekeza siasa za kihivyo, ifike hatua muweke utaifa mbele.
Kweli kabisa utaifa mbele kwenda kuomba pamoja
Njaa ndio inawakutanisha la sivyo mngegawiana mashamba mkalima kuliko familia moja kujimilikisha ardhi yote
Hivi ni lini mtakuja kusema nauza shamba langu kama sisi huku?

Waache waende tunawaombea kila la kheri
 
Lowassa yule mmoja aliyebabaishwa hadi 'akarudi' nyumbani....
Itakuchukua muda mrefu kuelewa ninachozungumza kuhusu hapa.
Hata Raila ni kama amerudi nyumbani tu.

Nikumbushe tu jaji aliemwapisha yuko uhamishoni mpaka leo na Raila haonyeshi kujari tayari tumbo lake limeshibishwa
 
Hata Raila ni kama amerudi nyumbani tu.

Nikumbushe tu jaji aliemwapisha yuko uhamishoni mpaka leo na Raila haonyeshi kujari tayari tumbo lake limeshibishwa

Jaji yupi alimuapisha yupo uhamishoni, acha hadithi za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…