Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

Tatizo lenu kubwa wazembe wa kusoma, ipitie ripoti ya CAG, japo kwa mlivyo wavivu sidhani hata kama utadiriki kusoma ukurasa mmoja.
Nakwambia taja sekta iliyokaukiwa fundings unaniambia nipitie report ya CAG hivi kichwa chako kina uji au mucus.
 
Siasa mbovu sana hizi, yaani viongozi waishi kwa kuonana kama simba na swala...mtabaki kuwa maskini kwa muda mrefu sana mkiendekeza siasa za kihivyo, ifike hatua muweke utaifa mbele.
We utabakia kuwa brashia viatu tu

Ova
 
Uhuru is on another lever when it comes to leadership, you can not compare Uhuru and this disgraceful person, dictator and a huge disaster in our State House.

Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

According to Mr. Odinga, they are optimistic that the Chinese Government will give Kenya Ksh.368billion loan from China to Kenyan government.

Speaking in Nyakach sub county on Saturday, the AU envoy said the funding will will also help revive the Kisumu inland port that slumped following the collapse of the railway transport.

He said the new SGR line will extend from Naivasha to Narok, Bomet, Sondu and finally Kisumu.

In addition, the completion of the SGR will have a huge impact on the economy of Kisumu and its environs, Mr. Odinga added.

He also noted that special economic zones will be established in Kisumu to make Kisumu City the hub of East Africa.

It is expected that the project will provide more employment opportunities for Kenyans who live and work in the region.
https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/
 
Nakwambia taja sekta iliyokaukiwa fundings unaniambia nipitie report ya CAG hivi kichwa chako kina uji au mucus.

Nitaje za nini wakati miradi yote iliyobuma kwa ukosefu wa hela imetajwa kwenye ripoti ya CAG, kajisomee mwenyewe wacha uzembe.
 
Nimesoma report, hakuna mradi uliobuma we bwege. Hela zimepigwa kwenye sekta mbali mbali lkn hakuna mradi uliosimama kisa hela.
Ipo miradi iliyosimama kutokana na change in terms and conditions.
Hakuna haja ya kusema uongo ili uonekane mwerevu.
 
Kodi ya ndani hutumika Kwa mambo muhimu zaidi huku Kenya, Kwa mfano bajeti ya Elimu mwaka huu Kwa mara ya Kwanza itapita $4B... Ukilinganisha na Tz bajeti ya Elimu haifiki hata $1B... Kama Kenya pia ingetumia < $1B hapo kwa Elimu tayari tungekua na $3B extra za kujenga SGR!!!!
Ingekua muhimu kuliko ubadhirifu isingekosa fungu
 
Nimesoma report, hakuna mradi uliobuma we bwege. Hela zimepigwa kwenye sekta mbali mbali lkn hakuna mradi uliosimama kisa hela.
Ipo miradi iliyosimama kutokana na change in terms and conditions.
Hakuna haja ya kusema uongo ili uonekane mwerevu.

MaCCM kwa akili ya kushikiliwa huwa mnatia kinyaa, nimekuambia usome ripoti sio uende kuwauliza watu wa Lumumba.
Nikupe mfano tu, kuna sehemu ripoti inazungumza kwamba serikali ilishindwa kupokeza bilioni 110b kwa miradi kadhaa ambayo imekwama.
Ni wazi hizi ni baadhi ya hela ambazo mumeeelekeza kwa mindege ya kubebea nyama na reli ambayo ambayo mnang'ang'ania kwa pesa ya ndani ambazo hazipo, mnalazimika kuvuruga miradi mingine hadi vyuma vinakaza kote.
Soma hii link hapa au utafute mtu akutafsirie ni mojawapo wa baadhi ya hela ambazo mumenyang'anya miradi https://www.thecitizen.co.tz/News/G...mentation-/1840340-5065266-t1g1qoz/index.html
 
Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/

Mkuu,

Aguambo anasafiri na UK kutimiza strategic objectives zake kubwa mbiili:

1: Kutekeleza majukumu yake kama African Union envoy on infrastructure​
2: Kuhakikisha kua SGR itafika Kisumu ambako ni nyumbani kwao.​

Hilo la kusema kuwa ni juu ya upinzani na demokrasia inaonyesha jinsi gani ulivyo naive ktk Sasa za huko kwenu.

Btw, hakuna jipya, maana Lowassa ambae alikua ndio main opponent wa JPM pamoja na viongozi Wendi wa upinzani tayari wake na JPM naw engine sasa ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na maDC.
 
Ingekua muhimu kuliko ubadhirifu isingekosa fungu
Unajua Kenya inaishinda Tz Kwa ranking ya "Government effectiveness in delivering projects" Yani hata kama tuna ufisadi bado hua ukicompare mipango yote ya serekali, Kenya hufanyikiwa kumaliza asilimia kubwa ya mipango kuliko Tz..... Tz kazi yake ni kuzindua kila siku....miaka michache baadae mnazindua tena na tena
 
Oyaaa kwa taarifa yako tuna reli zaidi ya 500km inatumika, hiyo ni karibu mara tatu ya kipande chenu hicho cha 200km ambacho kimewatoa jasho sijui mumefikia wapi, mling'ang'ania kutumia hela ya ndani ambazo mnaishia kunyofoa hela kutoka kwa miradi mingine hadi sekta zote zinakauka nchi vyuma vinakaza kila mtu anaishia kulia.
Hatutaki kuwa ombaomba kama nyie. Ukibebwa jikaze usijiregeze. Tena mnataka mradi mzima mbebwe sasa kodi mnayoikusanya inaensa wap?
 
Mkuu,

Aguambo anasafiri na UK kutimiza strategic objectives zake kubwa mbiili:

1: Kutekeleza majukumu yake kama African Union envoy on infrastructure​
2: Kuhakikisha kua SGR itafika Kisumu ambako ni nyumbani kwao.​

Hilo la kusema kuwa ni juu ya upinzani na demokrasia inaonyesha jinsi gani ulivyo naive ktk Sasa za huko kwenu.

Btw, hakuna jipya, maana Lowassa ambae alikua ndio main opponent wa JPM pamoja na viongozi Wendi wa upinzani tayari wake na JPM naw engine sasa ni Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na maDC.
Kipi kipya hapo, ni wazi kila mwanasiasa ana objectives zake kwenye kila hatua anayopiga, hivyo sio cha ajabu kwa Raila kuwa na maslahi yake, lakini la msingi ni hilo la kujitolea kuungana na Uhuru kwenda kusaka kwa ajili ya nchi.
Kama vipi Mbowe na Magufuli wakutane na kusaka hela kwa ajili ya tawi la SGR liende hadi Arusha kupitia Kilimanjaro kama unavyosema Raila anafuata mkondo wa kufika Kisumu.
Mwisho wa siku tukifaulu kufikisha Kisumu itaifaidi nchi haijalishi ni kwa Raila nyumbani au la.

Mambo ya Lowassa sina haja ya kumjadili maana yule mlimsakama hadi akarudi 'nyumbani' na kutelekeza upinzani.
 
Unajua Kenya inaishinda Tz Kwa ranking ya "Government effectiveness in delivering projects" Yani hata kama tuna ufisadi bado hua ukicompare mipango yote ya serekali, Kenya hufanyikiwa kumaliza asilimia kubwa ya mipango kuliko Tz..... Tz kazi yake ni kuzindua kila siku....miaka michache baadae mnazindua tena na tena
Tuachane na ushindani kwanza,TZ is doing better in all aspects, Nilikuuliza ni mradi gani uliokwama awamu hii hamjaleta hata mmoja...
Demokrasia na uhuru wa kujieleza tunahali mbaya kwa sasa
 
Hebu nijibu Kwanza, ni miradi mingapi ya serekali mlio maliza na inafanya kazi? Mmekua mkipata FDI ya zaidi ya $2.5B kila mwaka in the last 10 years, hebu nionyeshe miradi iliojengwa na hizi hela nje ya BRT na ndege za ATCL.
 
Unafaham upande wa barabara tueshapave 13000km hadi juzi hapa...Magufuli alivyoingia madarakani zilikua 8000+km
hosp Za wilaya na vituo vya afya vipya zaidi ya 300. ...
Dawa sahv zinapatikana bila shida
Umeme wa vijijin penetration imeongezeka sana..
Huduma ya maji nayo imeboreshwa sana...
Umeme nao sahv kukatika ni kue na dharura lasivyo haukatiki kama miaka 5 iliopita
 
Kipi kipya hapo, ni wazi kila mwanasiasa ana objectives zake kwenye kila hatua anayopiga, hivyo sio cha ajabu kwa Raila kuwa na maslahi yake, lakini la msingi ni hilo la kujitolea kuungana na Uhuru kwenda kusaka kwa ajili ya nchi.
Kama vipi Mbowe na Magufuli wakutane na kusaka hela kwa ajili ya tawi la SGR liende hadi Arusha kupitia Kilimanjaro kama unavyosema Raila anafuata mkondo wa kufika Kisumu.
Mwisho wa siku tukifaulu kufikisha Kisumu itaifaidi nchi haijalishi ni kwa Raila nyumbani au la.

Mambo ya Lowassa sina haja ya kumjadili maana yule mlimsakama hadi akarudi 'nyumbani' na kutelekeza upinzani.

Usijaribu kujenga hoja kwa kutumia wrong assumptions afadhali hata zingekuwa weak assumptions...Kwa kifupi: your title is neither inline with your abstract nor your conclusion....
 
Wewe umenijibu kwa kutumia assumptions eti Raila anafuata reli iende kwake Kisumu, sasa unalalamika nini.
 
Back
Top Bottom