Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

Unafaham upande wa barabara tueshapave 13000km hadi juzi hapa...Magufuli alivyoingia madarakani zilikua 8000+km
hosp Za wilaya na vituo vya afya vipya zaidi ya 300. ...
Dawa sahv zinapatikana bila shida
Umeme wa vijijin penetration imeongezeka sana..
Huduma ya maji nayo imeboreshwa sana...
Umeme nao sahv kukatika ni kue na dharura lasivyo haukatiki kama miaka 5 iliopita
Achana na huyu, tunamjua ni special case.
 
Siasa mbovu sana hizi, yaani viongozi waishi kwa kuonana kama simba na swala...mtabaki kuwa maskini kwa muda mrefu sana mkiendekeza siasa za kihivyo, ifike hatua muweke utaifa mbele.
Siasa zetu na zetu ziko tifauti sana mdogo wangu.

Nyie wanasiasa ni marafiki ila wakenya wafuasi ni maadui wa kuuana.

Huku wanasiasa ni maadui ila wafuasi ni wapenzi wa kufaana sana.
 
Ahaaa haaa haaa
When my friend becomes a friend of my enemy.

We may heteroscedastically conclude that:
H0: The enemy of my enemy is my friend.
H1: The friend of my enemy is my enemy.
Mark my words
Raila atakuja kuwa Rais huko mbele na sasa yupo kwenye mafunzo taratibu
[emoji41][emoji848][emoji848]
 
Siasa zetu na zetu ziko tifauti sana mdogo wangu.

Nyie wanasiasa ni marafiki ila wakenya wafuasi ni maadui wa kuuana.

Huku wanasiasa ni maadui ila wafuasi ni wapenzi wa kufaana sana.

Wafuasi kwenu ni wa kufaana kwa kweli, hebu ona hii picha hapa chini mnavyopendana kichama

1078316
vuruguccm.jpg
 
MaCCM kwa akili ya kushikiliwa huwa mnatia kinyaa, nimekuambia usome ripoti sio uende kuwauliza watu wa Lumumba.
Nikupe mfano tu, kuna sehemu ripoti inazungumza kwamba serikali ilishindwa kupokeza bilioni 110b kwa miradi kadhaa ambayo imekwama.
Ni wazi hizi ni baadhi ya hela ambazo mumeeelekeza kwa mindege ya kubebea nyama na reli ambayo ambayo mnang'ang'ania kwa pesa ya ndani ambazo hazipo, mnalazimika kuvuruga miradi mingine hadi vyuma vinakaza kote.
Soma hii link hapa au utafute mtu akutafsirie ni mojawapo wa baadhi ya hela ambazo mumenyang'anya miradi https://www.thecitizen.co.tz/News/G...mentation-/1840340-5065266-t1g1qoz/index.html
Ahaa, so kumbe you meant serikali ilikosa billion kadhaa sababu ndege ilinunuliwa na reli(to be specific sgr) inajengwa , isn't that opportunity cost due to scarcity of cash.
Serikali imeona ni bora iwekeze kwenye hizo modes of transportation for now. Washenzi kumbe roho zinawauma kuona Tz tunawekeza huko bila ya kukopa kijinga jinga kama nyinyi mnakaribia kuuzwa, mlikuwa mnataka muwe na sgr na kenya airways in Kenya alone. Ati air tz inabeba nyama, kama wanalipwa na kuna faida kwanini wasipakie. Na kwa taarifa yako linapiga routes nchini na linajaza daily.
Napenda wajinga kama nyinyi, prove em wrong bitches.
 
Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

According to Mr. Odinga, they are optimistic that the Chinese Government will give Kenya Ksh.368billion loan from China to Kenyan government.

Speaking in Nyakach sub county on Saturday, the AU envoy said the funding will will also help revive the Kisumu inland port that slumped following the collapse of the railway transport.

He said the new SGR line will extend from Naivasha to Narok, Bomet, Sondu and finally Kisumu.

In addition, the completion of the SGR will have a huge impact on the economy of Kisumu and its environs, Mr. Odinga added.

He also noted that special economic zones will be established in Kisumu to make Kisumu City the hub of East Africa.

It is expected that the project will provide more employment opportunities for Kenyans who live and work in the region.
https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/
Amakweli walaaniwe wanasiasa ina maana mmeshawasahau wale waliokufa 2007 na na 2017. Okay nao kama vp wapande ndege yao Boeing max X kama ya Ethiopia wakawasalimie
 
So ulitaka waishi kwa chuki tangu 2007 yaani nchi ikae mkao wa kuchukiana.
 
Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

According to Mr. Odinga, they are optimistic that the Chinese Government will give Kenya Ksh.368billion loan from China to Kenyan government.

Speaking in Nyakach sub county on Saturday, the AU envoy said the funding will will also help revive the Kisumu inland port that slumped following the collapse of the railway transport.

He said the new SGR line will extend from Naivasha to Narok, Bomet, Sondu and finally Kisumu.

In addition, the completion of the SGR will have a huge impact on the economy of Kisumu and its environs, Mr. Odinga added.

He also noted that special economic zones will be established in Kisumu to make Kisumu City the hub of East Africa.

It is expected that the project will provide more employment opportunities for Kenyans who live and work in the region.
https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/
Hao wanamipango yao,Raila siyo mpinzani tena wa Uhuru,Ukitaka kujua hilo muulize Ruto atakwambia
 
Kenya ni nchi ya watu wawili oginga oginga na jomo kenyata.hivyo hao wanao lazma wawe washkaji tuu
 
Hawa ni wasanii..Hii ni episode ya kutumikia mbali Ruto ktk kugombea Urais 2022. Kenyatta is very cunning..alimtumia Ruto kupata kura za wakalenjin sasa amesalitiwa na Kenyatta na urais atausikia redioni. Kenya Presidency is for Kikuyus only..
 
Porojo uache, mradi upi umekwama?awamu ya pili imeshaanza pesa ya mkopo tunajenga km 700km jumla kwa sasa...reli itafika mwanza kabla ya 2025 ,umbali 1219km itafika Kigali kutokea Isaka 400km na itaenda kigoma kutokea Tabora 440km infact hamtaweza huo mtandao ni mrefu sana na ukumbuke itatumia umeme pamoja na diesel...stiglers gorge inaisha tena kabla reli haijafika mwanza au zaweza fika sambamba
Kama hawajui kitu kinaenda Uganda kutokea Chato[emoji582][emoji582][emoji582]
 
Uhuru na familia asilimia kubwa ya ardhi ya kenya wameikamata hku wakenya wa kawaida kama wakina MK254 wamebakia watupu.....wnangangania sheria ipitishwe EAC upande wa ardhi waweze miliki ardhi tz

Ova
Kwa propaganda uko sawa
 
Demokrasia ya Kenya level yake sio ya kawaida, rais wa nchi na kiongozi wa upinzani kusafiri pamoja kwenda Uchina ili wakafanye majadiliano ya nchi kupewa mkopo wa kukamilisha reli ya SGR.
Hapa nawaza kama hili linawezekana kwa Museveni na Besingye au Magufuli na Mbowe watoke na kusafiri pamoja kwa ajili ya maslahi pana ya nchi.

Ifike mahali tujifunze kutanguliza uzalendo......sio mkao wa kujihami kwa mashoka kila siku.
-------------------------------

African Union envoy Raila Odinga will accompany President Uhuru Kenyatta to China next week to seek funds for the extension of the Standard Gauge Railway (SGR) from Naivasha to Kisumu.

According to Mr. Odinga, they are optimistic that the Chinese Government will give Kenya Ksh.368billion loan from China to Kenyan government.

Speaking in Nyakach sub county on Saturday, the AU envoy said the funding will will also help revive the Kisumu inland port that slumped following the collapse of the railway transport.

He said the new SGR line will extend from Naivasha to Narok, Bomet, Sondu and finally Kisumu.

In addition, the completion of the SGR will have a huge impact on the economy of Kisumu and its environs, Mr. Odinga added.

He also noted that special economic zones will be established in Kisumu to make Kisumu City the hub of East Africa.

It is expected that the project will provide more employment opportunities for Kenyans who live and work in the region.
https://citizentv.co.ke/news/raila-and-uhuru-set-for-china-visit-to-seek-ksh-368b-sgr-loan-241862/

Hakuna uzalendo hapo, unafiki tu! Kama una uzalendo wa kweli si kusafiri bali ni kurudisha mashamba ya watu aliowapoka wananchi wa Kenya. Hao wanajuana sana lao moja. Lakini huo mkopo mnaofurahia utawatokea puani. Mchina hana rafiki bali kuna kitu kakiona hapo Kenya anakitaka. Hii mikopo kuichukua ni rahisi sana ila kuirudisha ni mtiti
 
Back
Top Bottom