KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Kidogo, u should tour around and Africa some parts will shock u, utadhani uko EuropeAfrica nzima hakuna developed countries
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo, u should tour around and Africa some parts will shock u, utadhani uko EuropeAfrica nzima hakuna developed countries
G7 niKualikwa na wazungu nayo ni hot topic kwenu, utumwa sijui utaisha lini?
Toa China hapo,weka Canada.China ana umoja wake na kina South Africa Russia na India Wanajiita BricsG7 ni
USA
China
Japan
India
Germany
France
Britain
Mkipata Elimu mtajua kuwacha kuchangia kwingine kama haujui kinachohusika
Pia G7 ni Top 7 economies
Hata Danganyika mki kuwa Kiuchumi mpaka namba sita duniani mtajipata G7
Muwache kuongea kama ma dimbidi
Hii ni opportunity Uhuru amepewa
Aongeleshe
Merkel
Trump
Macron
Xi
Shinzo
Theresa na Ule wa india Pamoja Kuomba Usaidizi wa Kukuza uchumi wakenya
Imf, worldbank, Eu NATO zote zitakuwa present
Bila kusahau hawamaskini wa kutupwa hawa apa. kwenye rangi nyekundu
View attachment 508581
Kualikwa na wazungu nayo ni hot topic kwenu, utumwa sijui utaisha lini?
2017 - 2003 =(__)
From 2003-2017 mmepunguza 4%2017 - 2003 =(__)
fanya iyo hesabu.
bongolala ww
Kha unatuletea taarifa za 2003, hivi ulikua umefika Dar au hata kutoka kijijini???
We mathabane weweee!!!!!! In Fulani's voiceNapiga mahesabu siku akienda yule jamaa anaeyeutamani kuwa IGP
Ukweli mchungu huu.Kwa afrika mashariki na kati uhuru ndiye akili kubwa
G7 wanaalika akili kubwa tu