Uhuru ndiye rais pekee Afrika aliyealikwa kuhutubia mataifa makubwa ya G7

Kualikwa na wazungu nayo ni hot topic kwenu, utumwa sijui utaisha lini?
G7 ni
USA
China
Japan
India
Germany
France
Britain

Mkipata Elimu mtajua kuwacha kuchangia kwingine kama haujui kinachohusika

Pia G7 ni Top 7 economies

Hata Danganyika mki kuwa Kiuchumi mpaka namba sita duniani mtajipata G7

Muwache kuongea kama ma dimbidi

Hii ni opportunity Uhuru amepewa
Aongeleshe
Merkel
Trump
Macron
Xi
Shinzo
Theresa na Ule wa india Pamoja Kuomba Usaidizi wa Kukuza uchumi wakenya

Imf, worldbank, Eu NATO zote zitakuwa present
 
He will Go straight to China for the silk road conference Over the coming week to secure Funding for the Naivasha Kisumu Malaba SGR...costing around 7bn$
...

U gotta love UK .. .why dd he have Ruto as his deputy he would be perfect alone
 
Toa China hapo,weka Canada.China ana umoja wake na kina South Africa Russia na India Wanajiita Brics
 
Yaa Kenya is a getway for imperialists to Afrika. But I think this time they want to tell him black and white what will happen to him if he'll try to rig election.
 
Kualikwa na wazungu nayo ni hot topic kwenu, utumwa sijui utaisha lini?

Wale sio wazungu tu, ni G7 na ndio baba na mama wa dunia, leo hii hapo kitaa upo unakula ubwabwa kwa juhudi za hawa. Wakisema huwa mnatenda, wakikohoa huwa mnapatwa na mafua, wakiamuru huwa mnabinuka na kukubali...kibakuli mnawatembezea kutwa, ufundi wao na teknolojia mnategemea siku zote maana nyie hamna lolote zaidi ya kucheza bao kitaa.
 
Hata wasanii wanaendaga kupiga show kama viburudisho vya wakubwa
 
Uchaguzi wa Kenya. GT 8 Summit.Africa colonialism. Trump.EAC.Somalia........unganisha dots.
No impact to Tanzania.
Hongera Mh.Uhuru Kenyatta.
 
Wanaalikana wale waliosain ule mkataba tu hawana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…