UHURU: Nimechaguliwa na wakenya, maoni ya wananchi siwezi kuyapuuza

UHURU: Nimechaguliwa na wakenya, maoni ya wananchi siwezi kuyapuuza

Mada: Ufisadi
Uhuru: Ninajua mnaiba, imekua sasa kama jambo la kawaida kuiba pesa ya serikali. Wakenya wenzangu na fahamu kwamba mlinichagua kupigana na ufisadi lakini nimeshidwa, mnataka nifanye nini?
JPM: Walidhani kwamba nikichaguliwa nitakuwa "part of them" Never! Not me, siwezi kuwa raisi na nivumilie uoozo huu, afadhali mara kumi nisiwe rais niende kijijini nichunge ngombe nkt.
Mada: Uzalendo
JPM: Tanzania tuna eneo kubwa lakini sio shamba la majirani kuleta ngombe zao huku. Jirani yeyote ambaye atakiuka sheria za Tanzania antapata mali yake imetaifishwa, na pia mtanzania ambaye atakiuka sheria za nchi jirani shauri yake, aadhibiwe kwa mujibu wa sheria za huko
UHURU: Tuna shida kubwa ya ardhi, mabepari wamenyakua ardhi ya serikali na ya wananchi wa kawaida.Kutoka leo, nimeamuru kenya imefungua mipaka ya kenya kwa watu wote wa nchi zote afrika, Kama una pesa, kuja kenya, oa kenya na nunua ardhi kutoka kwa hawa mabepari na ujenge nyumba yako.
MADA: Miundo Mbinu
JPM: Reli tunajenga kwa pesa zetu wenyewe, kuna wengi ambao wamejaribu kujenga reli lakini ikabakia kuwa ni reli hovyo, tena kwa mkopo wa riba ya Juu zaidi.
UHURU: Wataalam Walituambia kwamba kujenga reli bila mpango sio jambo nzuri. Wakasema kwamba hatuna pesa. Kenya ipo na marafiki wengi, Wachina wa metupatia Mkopo tena Mkubwa kuliko vile tulitarajia, Reli ndio hii hapa anaye macho aione.

Mnao penda maneno matamu ole wenu!
 
Ujinga tu huo, Kenya yenyewe Uhuru alisimama peke yake kwenye uchaguz wa pili huku akipiga mkwara kibao kwa wapinzani
 
UHURU: Nimechaguliwa na wakenya, maoni ya wakenya ni nguzo muhimu ktk uongozi wangu. Siwezi kuyapuuza.

JPM: Nilichukua fomu mwenyewe, kwa hiyo sipangiwi. Ukijaribu kunipangia ndio unaharibu kabisa.

UHURU: Nimefurahi kukutana na kaka yangu Raila. Tumeamua kuweka tofauti zetu kando kwa maslahi ya wakenya. Kenya ni kubwa kuliko sisi.

JPM: Mzee Lowasa amekuja kunipongeza kwa kazi nzuri ninazofanya. Mzee Lowassa ni mtu mwema, hakunitukana wakati wa kampeni. Wapambe wake ndio walionitukana lakini hakuwatuma. Kwani uliwatuma mzee? (Hapana, sikuwatuma).!

UHURU: Maandamano ni haki ya msingi ya wananchi wa Kenya. Serikali haitazuia maandamano yoyote ya amani. Nimemsikia IGP akisema waandamanaji hawana kibali cha maandamano yao. Nimemwambia Wakenya hawahitaji kibali ili kueleza hisia zao kwenye nchi yao wenyewe. Wanahitaji tu kutoa taarifa kwa polisi ili kupata ulinzi. Polisi hawaruhusiwi kuzuia maandamano, bali kuyalinda ili wale watakaofanya vurugu wakamatwe. Kwahiyo waliojiandaa kuleta fujo kwenye maandamano hayo watashughulikiwa.

JPM: Nasikia kuna maandamano. Waambieni waandamane waone. Kama kuna wajomba zao waliowatuma wataenda kuwahadithia. Mimi sijaribiwi.!

CHAKUBANGA: Hatuna la kujifunza Kenya. [emoji23][emoji28][emoji28]

Safari yetu ni ndefu utadhani hatutembei[emoji86]
kipo cha kujifunza
 
Majuto ni mjukuuu, mfano mzurii LIBYA, biashara ya binadamu naiona karibu, tumezoea kuyaona kwa wenzetu sasa yanukia JMT, hakika GENOCIDE twaika wenyewe kwa kutumiwa na mataifa ya magharibi kutaka MALI YETU NA HAKI YETU,

1. LIBYA
2.DRC
3.NIGERIA
4.SOUTH SUDAN
Hatimaye harufu ya damu TZ yaanza kunukia,Tumekuwa watumwa na watu wa magharibi hadi karne na karne paspo shurti zao bali utmiaji wa machifu wenye kusaliti nchi zao,HARAKATI ZA JPM ZA WAKERA WANZANDIKI WA MAGHARIBI KAMA ILIVOKUWA KWA MAREHEMU GADAFI WAKITUMIA NENO DIKTETA, JIULIZE WEWE BINAFSI NA FUTURE YA KIZAZI CHAKO JE ULIPIGANA KUPATA UHURU AU KURUHUSU VIROBA VYA MADINI KWENDA NCHI ZA MAGHARIBI?

Hat
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mada: Ufisadi
Uhuru: Ninajua mnaiba, imekua sasa kama jambo la kawaida kuiba pesa ya serikali. Wakenya wenzangu na fahamu kwamba mlinichagua kupigana na ufisadi lakini nimeshidwa, mnataka nifanye nini?
JPM: Walidhani kwamba nikichaguliwa nitakuwa "part of them" Never! Not me, siwezi kuwa raisi na nivumilie uoozo huu, afadhali mara kumi nisiwe rais niende kijijini nichunge ngombe nkt.
Mada: Uzalendo
JPM: Tanzania tuna eneo kubwa lakini sio
Wewe jamaa dish limeyumba nini? Sasa rais Uhuru Kenyatta na mwenzake JPM walikuwa wanajadiliana kwenye ndoto zako za au? Maanake naona hadi wanajibizana??? [emoji38] Kweli chang'aa ni kali. [emoji23]
 
Unataka nikunyeshe chupa yangu ya plastic ya kukinga vitoa machozi? Usicheze na viwanda vya Tanzania [emoji23]
Wapi bana. Wewe najua kesho utachomoka tu kuota jua saa nne kisha urudi pangoni. Kama burukenge. Watz mnajua tu kupanick. [emoji23]
 
Acha kupotosha wenzio
Hili suala la maandamano naona ni real. Kisichojulikana ni je yatakuwa ya ukubwa gani? Nimeshangaa kuona mabinti hapa Nyakato, Mwanza wanatengeneza makopo wanayosema ni ya kujilinda na mabomu ya machozi.
 
Mkuu hakuna lolote mpaka sasa hivi. Tuache kudanganyana mkuu
 
Mkuu hakuna lolote mpaka sasa hivi. Tuache kudanganyana mkuu
Nimesema nilichokiona. Niliowaona ni hao dada watatu. Sijui kama kuna wengine au ni hao watatu tu.

Lakini inaonekana serikali inaona tishio halisi. Muda huu hapa Mwanza, polisi wanazunguka mjini na ving'ora. Nimehesabu ni magari 8. Zipo landcruiser 5, malori ya wazi mawili na washawasha moja.
 
Ni jukumu la polisi kutulinda sis raia na mali zao. Mambo ya usalama ni mtambuka kwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom