[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umelia na kuchekaHizi komenti zimenichekesha na kuniliza
Hahhahah na mm nipo nayo hapa hakuna namnaNishaandaa makopo yangu ya kuvaa usoni yaana navaa kama roboti ahahahah
SawaHahhahah na mm nipo nayo hapa hakuna namna
Acha kupotosha wenzioNishaandaa makopo yangu ya kuvaa usoni yaana navaa kama roboti ahahahah
kipo cha kujifunzaUHURU: Nimechaguliwa na wakenya, maoni ya wakenya ni nguzo muhimu ktk uongozi wangu. Siwezi kuyapuuza.
JPM: Nilichukua fomu mwenyewe, kwa hiyo sipangiwi. Ukijaribu kunipangia ndio unaharibu kabisa.
UHURU: Nimefurahi kukutana na kaka yangu Raila. Tumeamua kuweka tofauti zetu kando kwa maslahi ya wakenya. Kenya ni kubwa kuliko sisi.
JPM: Mzee Lowasa amekuja kunipongeza kwa kazi nzuri ninazofanya. Mzee Lowassa ni mtu mwema, hakunitukana wakati wa kampeni. Wapambe wake ndio walionitukana lakini hakuwatuma. Kwani uliwatuma mzee? (Hapana, sikuwatuma).!
UHURU: Maandamano ni haki ya msingi ya wananchi wa Kenya. Serikali haitazuia maandamano yoyote ya amani. Nimemsikia IGP akisema waandamanaji hawana kibali cha maandamano yao. Nimemwambia Wakenya hawahitaji kibali ili kueleza hisia zao kwenye nchi yao wenyewe. Wanahitaji tu kutoa taarifa kwa polisi ili kupata ulinzi. Polisi hawaruhusiwi kuzuia maandamano, bali kuyalinda ili wale watakaofanya vurugu wakamatwe. Kwahiyo waliojiandaa kuleta fujo kwenye maandamano hayo watashughulikiwa.
JPM: Nasikia kuna maandamano. Waambieni waandamane waone. Kama kuna wajomba zao waliowatuma wataenda kuwahadithia. Mimi sijaribiwi.!
CHAKUBANGA: Hatuna la kujifunza Kenya. [emoji23][emoji28][emoji28]
Safari yetu ni ndefu utadhani hatutembei[emoji86]
Sema tu unaogopa teargas. [emoji38]Ubaby-baby ubaki Kenya Tanzania ni kazi tuu.
Unataka nikuonyeshe chupa yangu ya plastic ya kukinga vitoa machozi? Usicheze na viwanda vya Tanzania [emoji23]Sema tu unaogopa vitoa machozi. [emoji38]
Wewe jamaa dish limeyumba nini? Sasa rais Uhuru Kenyatta na mwenzake JPM walikuwa wanajadiliana kwenye ndoto zako za au? Maanake naona hadi wanajibizana??? [emoji38] Kweli chang'aa ni kali. [emoji23]Mada: Ufisadi
Uhuru: Ninajua mnaiba, imekua sasa kama jambo la kawaida kuiba pesa ya serikali. Wakenya wenzangu na fahamu kwamba mlinichagua kupigana na ufisadi lakini nimeshidwa, mnataka nifanye nini?
JPM: Walidhani kwamba nikichaguliwa nitakuwa "part of them" Never! Not me, siwezi kuwa raisi na nivumilie uoozo huu, afadhali mara kumi nisiwe rais niende kijijini nichunge ngombe nkt.
Mada: Uzalendo
JPM: Tanzania tuna eneo kubwa lakini sio
Niaje? umenyamaza sana 😀😀Wewe jamaa dish limeyumba nini? Sasa rais Uhuru Kenyatta na mwenzake JPM walikuwa wanajadiliana kwenye ndoto zako za au? Maanake naona hadi wanajibizana??? [emoji38] Kweli chang'aa ni kali. [emoji23]
Wapi bana. Wewe najua kesho utachomoka tu kuota jua saa nne kisha urudi pangoni. Kama burukenge. Watz mnajua tu kupanick. [emoji23]Unataka nikunyeshe chupa yangu ya plastic ya kukinga vitoa machozi? Usicheze na viwanda vya Tanzania [emoji23]
Watanzania tunapenda kukaa kuangalia sinema instagram, sio mtaani. Dunia, mtusamehe sisi sio wa kukinukisha. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi bana. Wewe najua kesho utachomoka tu kuota jua saa nne kisha urudi pangoni. Kama burukenge. Watz mnajua kupanick tu.
[emoji38][emoji38][emoji38]Watanzania tunapenda kukaa kuangalia sinema instagram, sio mtaani. Dunia, mtusamehe sisi sio wa kukinukisha. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili suala la maandamano naona ni real. Kisichojulikana ni je yatakuwa ya ukubwa gani? Nimeshangaa kuona mabinti hapa Nyakato, Mwanza wanatengeneza makopo wanayosema ni ya kujilinda na mabomu ya machozi.Acha kupotosha wenzio
Mkuu hakuna lolote mpaka sasa hivi. Tuache kudanganyana mkuuHili suala la maandamano naona ni real. Kisichojulikana ni je yatakuwa ya ukubwa gani? Nimeshangaa kuona mabinti hapa Nyakato, Mwanza wanatengeneza makopo wanayosema ni ya kujilinda na mabomu ya machozi.
Nimesema nilichokiona. Niliowaona ni hao dada watatu. Sijui kama kuna wengine au ni hao watatu tu.Mkuu hakuna lolote mpaka sasa hivi. Tuache kudanganyana mkuu
Ni jukumu la polisi kutulinda sis raia na mali zao. Mambo ya usalama ni mtambuka kwa nchi hii.Nimesema nilichokiona. Niliowaona ni hao dada watatu. Sijui kama kuna wengine au ni hao watatu tu.
Lakini inaonekana serikali inaona tishio halisi. Muda huu hapa Mwanza, polisi wanazunguka mjini na ving'ora. Nimehesabu ni magari 8. Zipo landcruiser 5, malori ya wazi mawili na washawasha moja.