Li capiteni
Senior Member
- Sep 20, 2014
- 176
- 20
Jamaa mwoga ile mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wanajua kweli kujichanganya. Angekuwa ni huyu wa kwetu Mr Fastjet hiyo Airport ingefungwa ili apite, as if kuna mapinduzi!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app

Did he have any other choice?Precedent to others. Ability to delegate
Uhuru Kenyatta ambae kwa sasa amekaimu Urais kwa William Ruto amewasili Hague jioni hii kwa ajili ya kesho kuhudhuria vikao vya kesi yake ICC. Alichowavutia wengi ni kwamba, amekwenda kule kama RAIA wa kawaida na sio kama RAIS wa Jamhuri ya Kenya. Hata ukiangalia namna alivyoondoka pale Kenyatta Int'l Airport ametumia sehemu ya abiria ya kawaida na hata msafara wake wakati wa kuelekea airport na alivyopokewa Uholanzi haukuwa na zile mbwembwe wanazopewa marais.
Mengi zaidi tutayajua kesho vikao vitakapo anza.
Source:Citizen Television.
Viongozi wa Afrika wananishangaza! Ameshtakiwa mahakamani kwa tuhuma za kabla hajawa Rais, lakini urais sasa hivi ndio utetezi. Mara o nakabidhi urais, naenda kama raia wa kawaida. Who cares. You go to court and answer charges. Huo ndio utawala wa sheria. Hakuna aliye juu ya sheria - awe Rais awe kapuku - wote sawa.
Hawa jamaa wanajua kweli kujichanganya. Angekuwa ni huyu wa kwetu Mr Fastjet hiyo Airport ingefungwa ili apite, as if kuna mapinduzi!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Did he have any other choice?