Uhuru off to the Hague with 120 strong entourage.

hivi icc si ndio waliomkata sadam kichwa kwa kumsingizia mambo ya uwongo?
 
Umeona ehhh
Viongozi wa Afrika wananishangaza! Ameshtakiwa mahakamani kwa tuhuma za kabla hajawa Rais, lakini urais sasa hivi ndio utetezi. Mara o nakabidhi urais, naenda kama raia wa kawaida. Who cares. You go to court and answer charges. Huo ndio utawala wa sheria. Hakuna aliye juu ya sheria - awe Rais awe kapuku - wote sawa.
 
Kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...
 
Hiyo ya uraia wa kawaida kasema yeye lkn kiuhalisia ni Rais wa Kenya, hembu cheki hata hao wahudumu hapo Airport wanavyomhudumia kwa adabu........
 
Hivi Kiguru na njia watu huwa anasafiri kwa ndege zipi? Qatar airways?
 
kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...

kikwete anapenda sana nyanya chungu na tembere, huwa anaenda kununua sokoni
 
Hiyo ya uraia wa kawaida kasema yeye lkn kiuhalisia ni Rais wa Kenya, hembu cheki hata hao wahudumu hapo Airport wanavyomhudumia kwa adabu........

Hamna walichomuhudumia hapo hauoni wanachekacheka bila kujua cha kufanya, yeye mwenyewe kajichanganya hana ticketi mkononi.
 
Hivi Kiguru na njia watu huwa anasafiri kwa ndege zipi? Qatar airways?

DHAIFU huwa anasafiri na EMIRATES!!! Wale jamaa waliokwapua mabilioni ya fedha ya EPA wakina Mwakale na Mwenzie wameachiwa toka jela ,wako mtaani wanakula bata!! Chezea network ya DHAIFU wewe na Maranda na Farijallah wako njiani kuachiwa!!
 
Kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...

Huo si ukweli. Jomo Kenyatta na Daniel Moi walikuwa wakitangamana mno na watu. Uhuru ni kama tu babake.

Moi alikuwa akifanya stop overs kwenye masoko kando ya barabara, akanunua matunda kama ndizi na machungwa (yeye mwenyewe) na kushare na raia hapo kando ya barabara huku akichapa gumzo nao.
Lakini Uhuru seems a little bit too casual.

Kibaki ndiye alijifanya too important ku-mingle na mtu wa kawaida.
 
Kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...

President-Uhuru-Kenyatta-arrested-by-traffic-police-officer.jpg
Since taking over the instruments of power from his predecessor, Mwai Kibaki, who was notorious of leaving behind a trail of gridlocks whenever he and his entourage moved around the city, President Uhuru Kenyatta on several occasions does the opposite – conceal his movement.
His new style has even baffled traffic police officers who are sometimes caught off guard by the unguarded Presidential entourage.
On Monday this week, a traffic police officer along the busy Uhuru Highway was surprised when he discovered that the motorist he had stopped was the President himself.
The officer was part of a team mobilized to control traffic following a signal that Uhuru was supposed to move from State House to one of the five star hotels for a family meeting.
The overzealous officer was trying to stop the approaching unmarked car to get out of the way for the Presidential motorcade that was apparently carrying the Head of State.
The driver attempted to stop when flagged down then tried to drive past but the officer stood firm.
When the vehicle stopped, President Uhuru rolled down the window identifying himself before he was allowed to proceed by the shocked officer.
"Ni mimi officer, fungua, (it is me officer, allow us to go)," the President begged the cop.
The cop opened the grid lock on traffic and then thanked the President for being humble and a down to earth President.
Kenyan traffic officer apprehends President Kenyatta while driving « The Eagle Online - The Nigerian Online Newspaper
 
Kwani kupita hapo kama raia wa kawaida inaashiria kwamba ni kiongozi bora wakuu? Maana naona michango mingi inamaanisha hivyo
 
Hizo ni sarakasi za PR! ndio maana kuna picha katika tukio ambalo supposedly lilitokea tu randomly!
 
What President Uhuru has done will gain his political mileages that ever! It is the biggest decision which will earn him huge respect.

I salute you Mr. President!
 
Hizo ni sarakasi za PR! ndio maana kuna picha katika tukio ambalo supposedly lilitokea tu randomly!

Aliyekuambia hiyo picha ni ya tukio lenyewe nani.
 
Hawa jamaa wanajua kweli kujichanganya. Angekuwa ni huyu wa kwetu Mr Fastjet hiyo Airport ingefungwa ili apite, as if kuna mapinduzi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom