Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende mahakamani akajibu tuhuma, aache sarakasi!!
Viongozi wa Afrika wananishangaza! Ameshtakiwa mahakamani kwa tuhuma za kabla hajawa Rais, lakini urais sasa hivi ndio utetezi. Mara o nakabidhi urais, naenda kama raia wa kawaida. Who cares. You go to court and answer charges. Huo ndio utawala wa sheria. Hakuna aliye juu ya sheria - awe Rais awe kapuku - wote sawa.Umeona ehhh
kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...
Hivi Kiguru na njia watu huwa anasafiri kwa ndege zipi? Qatar airways?
Hiyo ya uraia wa kawaida kasema yeye lkn kiuhalisia ni Rais wa Kenya, hembu cheki hata hao wahudumu hapo Airport wanavyomhudumia kwa adabu........
Hivi Kiguru na njia watu huwa anasafiri kwa ndege zipi? Qatar airways?
Kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...
Kenya kitu kama hiki lazima kiwe habari, sababu marais wao kujichanganya na watu wa kawaida ni ngumu. Sisi kikwete wetu kujichanganya uswahilini ni kawaida tu! Kwanza juzi kapanda treni...
Tofauti ni kuwa kenyata kauvua urais kwa mda na kamwachia williamu ruto.Mbona hata Kikwete anaenda mpaka sokoni kununua samaki...
Since taking over the instruments of power from his predecessor, Mwai Kibaki, who was notorious of leaving behind a trail of gridlocks whenever he and his entourage moved around the city, President Uhuru Kenyatta on several occasions does the opposite – conceal his movement.![]()
His new style has even baffled traffic police officers who are sometimes caught off guard by the unguarded Presidential entourage.
On Monday this week, a traffic police officer along the busy Uhuru Highway was surprised when he discovered that the motorist he had stopped was the President himself.
The officer was part of a team mobilized to control traffic following a signal that Uhuru was supposed to move from State House to one of the five star hotels for a family meeting.
The overzealous officer was trying to stop the approaching unmarked car to get out of the way for the Presidential motorcade that was apparently carrying the Head of State.
The driver attempted to stop when flagged down then tried to drive past but the officer stood firm.
When the vehicle stopped, President Uhuru rolled down the window identifying himself before he was allowed to proceed by the shocked officer.
"Ni mimi officer, fungua, (it is me officer, allow us to go)," the President begged the cop.
The cop opened the grid lock on traffic and then thanked the President for being humble and a down to earth President.
Kenyan traffic officer apprehends President Kenyatta while driving « The Eagle Online - The Nigerian Online Newspaper
Hizo ni sarakasi za PR! ndio maana kuna picha katika tukio ambalo supposedly lilitokea tu randomly!