Alfred Paulo Kijangwa
Member
- Nov 3, 2017
- 68
- 67
Kwa Hiyo Unataka Kusema Hata Kama Waliojiandikisha Kupiga Kura Ni Milion 27, Mpinzani Wako Akasusia Uchaguzi Na Akawaambia Wapigakura Nao Wasusie Pia Mwisho Wa Siku Unajikuta Kwny Uchaguzi Peke Yako Halafu Unapata Kura Milion 7 Kati Ya Kura Milion 27 Halafu Unajisifu Umeshinda? Watu Milion 20 Wamekususa Maana Yake Wamemuunga Mkono Mpinzani Wako Aliyesusa Kwa Sababu Za Msingi Kabisa Lkn Hukutaka Kumsikiliza. Sasa Mwenye Milioni 7 Na Mwenye Mil 20 Hata Kama Hayupo Ikulu Je, Nani Anapendwa Na Wananchi Na Nani Alitakiwa Kuwa Ikulu? Wenye Nchi Ni Wananchi Wasipuuzwe Na Kura Zao.Tatizo unalo wewe kwasababu haihalishi idadi ya wakenya inahalisha idadi ya kura zilizopigwa
watu wanashangaa shangaa tu hakuna viti meza wala vipaza saiti Odinga hajulikani alipo Ruto hajulikani alipo ......... wamebakia wanaungua jua infact Ruto alionekana masaa kadhaa yaliyopita akitimkia kusikojulikana .........Odinga yeye wanahabari wamejaa nje kwakwe tangu saa 12 asubuhi lakini hawajaona dalili yake toka kumekucha😀😀 is either comender in "general"ametumia mbinu za kijeshi kama kule zimbabwe walivyofanyaVipi kinaendelea nini hapo bustani za Uhuru
Tujuzeni huku tuanze kuandaa mazingira ya kkupokea wakimbizi
Baba nani?Tunaenda kumuapisha Baba
Huyo chief justice, au deputy wake yupo hapo?? Na je muda si umeshapita??Kumbukeni according to ASSUMPTION OF THE OFFICE OF PRESIDENT ACT NO. 21 OF 2012, oath taking ceremony for the president should take place between 10:00 am and 2:00 pm Jakuon has 30 minutes to go. Otherwise, he will be leading his supporters in conducting what i called earlier, a mass masturbation exercise.
Kwanza mwache Lisu ajifunze kutembelea magongo.Ndivyo itakavyokuwa 2020 pale tundu akirudi
Anyongwe jaluo uyo
Anasupport ujinga akiwa ndani atoke nje afanye wanayofanya kenya hapa tz aone,hatuendekezi ukichaaa TZNeka kenya basi na wewe ukadai haki ya magovi wenzako
Haya cdm mna pendwa na wananchi kelele za nini sasa waacheni ccm waongoze nchi nyie mbaki na kupendwa na wananchiKwa Hiyo Unataka Kusema Hata Kama Waliojiandikisha Kupiga Kura Ni Milion 27, Mpinzani Wako Akasusia Uchaguzi Na Akawaambia Wapigakura Nao Wasusie Pia Mwisho Wa Siku Unajikuta Kwny Uchaguzi Peke Yako Halafu Unapata Kura Milion 7 Kati Ya Kura Milion 27 Halafu Unajisifu Umeshinda? Watu Milion 20 Wamekususa Maana Yake Wamemuunga Mkono Mpinzani Wako Aliyesusa Kwa Sababu Za Msingi Kabisa Lkn Hukutaka Kumsikiliza. Sasa Mwenye Milioni 7 Na Mwenye Mil 20 Hata Kama Hayupo Ikulu Je, Nani Anapendwa Na Wananchi Na Nani Alitakiwa Kuwa Ikulu? Wenye Nchi Ni Wananchi Wasipuuzwe Na Kura Zao.
DHAMBI YA UKABILARaila anapaswa kuheshimu taratibu walizojiwekea, mzaha huu ukiachwa utakuwa chachu kwa nchi nyingine kupata mwanya wa kuanzisha vurugu kwa mambo yasiyo na msingi. Ningemuelewa kama angegombea na kupata idadi ya kura inayokaribiana. Hapo angejenga hoja na serikali ya ummoja angeeleweka!! huo mzaha usipewe kipaumbele