Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Anasupport ujinga akiwa ndani atoke nje afanye wanayofanya kenya hapa tz aone,hatuendekezi ukichaaa TZ
watanzania waoga, waoga ni hilo tu. Lakini mnajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru ni wepesi kama pamba! Kama hamuogopi mnazuia mikutano ya nini?
 
Ametokea sasa wasemaje?
nilikosea nakubali.

kama ni hivyo kuna mawili:

1. Uhuru ni kiongozi mwenye hekima sana pengine kuliko marais wote Africa

AU

2. Raila ameachiwa afanye tendo ambalo kikatiba linakuwa construed as treason na sasa kwa vile kaifanya anaweza kudakwa anytime!
 
Kwa Hiyo Unataka Kusema Hata Kama Waliojiandikisha Kupiga Kura Ni Milion 27, Mpinzani Wako Akasusia Uchaguzi Na Akawaambia Wapigakura Nao Wasusie Pia Mwisho Wa Siku Unajikuta Kwny Uchaguzi Peke Yako Halafu Unapata Kura Milion 7 Kati Ya Kura Milion 27 Halafu Unajisifu Umeshinda? Watu Milion 20 Wamekususa Maana Yake Wamemuunga Mkono Mpinzani Wako Aliyesusa Kwa Sababu Za Msingi Kabisa Lkn Hukutaka Kumsikiliza. Sasa Mwenye Milioni 7 Na Mwenye Mil 20 Hata Kama Hayupo Ikulu Je, Nani Anapendwa Na Wananchi Na Nani Alitakiwa Kuwa Ikulu? Wenye Nchi Ni Wananchi Wasipuuzwe Na Kura Zao.
 
Hadi raha !karaha kwa ndugu zetu chadema haa khaaa teh .ukitaka uwalibikiwe afrika mashariki watukane watanzania watukane wanaccm hapo ubaki Salama.Nkurunzinza ,Kagame ,museveni ,Kabila, wanajeuri kwa sababu wanamueshimu baba yao ccm
 
IMG-20180130-WA0077.jpg
 
Hongera baba mazeeee! [emoji3] [emoji3] [emoji95] [emoji122]
FB_IMG_1517327767620.jpg
 
Aiseeh Mungu awanusuru na machafuko. Nina sibling anaishi huko basi roho juu.

Aaaghh wamalize tuu hizo tofauti zao wananchi waendelee na maisha mengine. Wahindi kibao walikimbia tangu mwaka jana sijui kama wamesharudi.
 
nilikosea nakubali.

kama ni hivyo kuna mawili:

1. Uhuru ni kiongozi mwenye hekima sana pengine kuliko marais wote Africa

AU

2. Raila ameachiwa afanye tendo ambalo kikatiba linakuwa construed as treason na sasa kwa vile kaifanya anaweza kudakwa anytime!
Ngoja na mimi nikosee: Uhuru hawezi kuthubutu kumgusa. Nahisi nchi itaingia kwenye genocide na yeye under world pressure hatasalimika kama kutakuwa na genosice.
NOTE: kama ulisikia wakati wa kuapa, amesema Rais wa wananchi wa Kenya, SIYO Rais wa Jamhuri ya Kenya, hilo ameliepuka! Sijui kama lina legal escape of treason charge!
 
Back
Top Bottom