amekuja sasa wasemaje?Mdanganye wamkate govi kwa bati butu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekuja sasa wasemaje?Mdanganye wamkate govi kwa bati butu
watanzania waoga, waoga ni hilo tu. Lakini mnajua kuwa kukiwa na uchaguzi huru ni wepesi kama pamba! Kama hamuogopi mnazuia mikutano ya nini?Anasupport ujinga akiwa ndani atoke nje afanye wanayofanya kenya hapa tz aone,hatuendekezi ukichaaa TZ
nilikosea nakubali.Ametokea sasa wasemaje?
Kwa Hiyo Unataka Kusema Hata Kama Waliojiandikisha Kupiga Kura Ni Milion 27, Mpinzani Wako Akasusia Uchaguzi Na Akawaambia Wapigakura Nao Wasusie Pia Mwisho Wa Siku Unajikuta Kwny Uchaguzi Peke Yako Halafu Unapata Kura Milion 7 Kati Ya Kura Milion 27 Halafu Unajisifu Umeshinda? Watu Milion 20 Wamekususa Maana Yake Wamemuunga Mkono Mpinzani Wako Aliyesusa Kwa Sababu Za Msingi Kabisa Lkn Hukutaka Kumsikiliza. Sasa Mwenye Milioni 7 Na Mwenye Mil 20 Hata Kama Hayupo Ikulu Je, Nani Anapendwa Na Wananchi Na Nani Alitakiwa Kuwa Ikulu? Wenye Nchi Ni Wananchi Wasipuuzwe Na Kura Zao.
Hilo zee fala sana. Uchu wa madaraka tu ndio unalisumbua.Kujiapisha ndio suluhu?
Baada ya kujiapisha anakuwa amiri Jeshi?
Ngoja na mimi nikosee: Uhuru hawezi kuthubutu kumgusa. Nahisi nchi itaingia kwenye genocide na yeye under world pressure hatasalimika kama kutakuwa na genosice.nilikosea nakubali.
kama ni hivyo kuna mawili:
1. Uhuru ni kiongozi mwenye hekima sana pengine kuliko marais wote Africa
AU
2. Raila ameachiwa afanye tendo ambalo kikatiba linakuwa construed as treason na sasa kwa vile kaifanya anaweza kudakwa anytime!