Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Msela wake aliyeenda kumsaidia kuzindua kampeni kwenye ile duru ya kwanza amehudhuria leo? I mean Mr kidevu!
 
Nionavyo, Kenya inahitaji political healing. Haiwezekani uwe na hali hiyo wewe un deploy jeshi. Hiyo siyo security problem, ni political problem. Where next now? Hii tabia ya winner takes all, haitasalimisha nchi yaK Kenya. Ukabila haitasalimisha Kenya.

btw. Ruto ana bahati mbaya sana. Facial expression yake hainyeshi wema. Haionyeshi kama ni mtu mwaminifu kabisa!! unaweza muona kama ni mtu mbaya aliyebahatika kuingia siasa ya kenya na kujipatia nafasi.
 
Aiseeh Mungu awanusuru na machafuko. Nina sibling anaishi huko basi roho juu.

Aaaghh wamalize tuu hizo tofauti zao wananchi waendelee na maisha mengine. Wahindi kibao walikimbia tangu mwaka jana sijui kama wamesharudi.
Dah, Kasie, naona jirani leo umetutembelea. Huyo sibling yako ndo dadako mdogo au? Sisteh, nipe directions za kufika kwenye makao yake basi na contacts zake pia. Ntarudi na mrejesho, kuhusu hali yake na usalama wake pia. 😀😀😀
 
Ze pepoz prezdentttt mazeee!![emoji122] [emoji95] [emoji3] [emoji382]
FB_IMG_1517330494630.jpg
FB_IMG_1517330515409.jpg
 
Jamani, mwenye updates za nini kinaendelea huko kwa jirani zetu waKenya,

Bado kina Raila hawajadakwa? {Kwa kwenda kinyume na Article 40 of Kenya Penal Code }
 
nilikosea nakubali.

kama ni hivyo kuna mawili:

1. Uhuru ni kiongozi mwenye hekima sana pengine kuliko marais wote Africa

AU

2. Raila ameachiwa afanye tendo ambalo kikatiba linakuwa construed as treason na sasa kwa vile kaifanya anaweza kudakwa anytime!
Hatadakwa sababu alikua anaigiza tu.
Kwanza hakushiriki uchaguzi, poa aliyemuaposha ni just mbunge tu ambaye kikatiba hana mamlaka ya kuapisha.
Igizo limeisha wajaluo wamefurahi na kurudi majumbani mwao kwa amani
 
Raila ameapa kama "people's president, not as the president of the Republic of kenya" tofautisha hapo.
 
Hatadakwa sababu alikua anaigiza tu.
Kwanza hakushiriki uchaguzi, poa aliyemuaposha ni just mbunge tu ambaye kikatiba hana mamlaka ya kuapisha.
Igizo limeisha wajaluo wamefurahi na kurudi majumbani mwao kwa amani
hahaha!
 
Nchi moja MaRais wawili?Kimeshanuka Kenya.Hii Filamu ingechezwa Tanzania mmmh sipati picha huo mkongoto wake
 
huyu mtu anatakiwa akamatwe na ashitakiwe haraka sana vinginevyo akiachiwa kuendelea na mchezo wake huo ataivuruga kenya.
 
Raila president of people of republic of Kenya.
Uhuru president of republic of Kenya.
Therein hangs a tale.
 
Siasa haitakiwa kuwa kinzani na shimo la maasi kwa wananchi,Odinga anastahili kuwa mkweli kwa watu wake ,alipeleka malalamiko MAHAKAMANI, akashinda,akaueleza UMMA kuwa MAHAKAMA ni sehemu salama,Mahakama ikaelekeza UCHAGUZI urudiwe (AKAIPINGA MAHAKAMA hiyo hiyo iliyompa USHINDI wewe).SASA LEO anajiapisha kuwa Rais ktk NCHI iliyo na Rais !!!?SIASA ISITUVUE BUSARA ZETU!
 
Yaan kama mtoto,MTU mzima Raila oovyoooo
 
Angedhubutu kuapa kuwa Rais wa Jamuhuri ya KENYA sasa anaapa kuwa Rais wa watu walevi wa Kijaluo
 
Back
Top Bottom