Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hahahaaaa uwiiSasa kama comment zenyewe ndio hizo za job true true unahuzunika nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa uwiiSasa kama comment zenyewe ndio hizo za job true true unahuzunika nini?
Swadakta umesema kweliHabari zenu Wakuu,
Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.
Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.
USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
Sawa.. uonavyo bossWewe ni Mwanaume, kama sio basi wewe ni Mwanamke Muhuni.
UNA KILA VIASHIRIA VYA KUWA MUHUNI.
Umeelewa nilichoandika Mkuu?Wewe ni mtu usiye amini katika uhuru wa mawazo.
Wewe ni mtu ambaye ungetamsni Dunia iwe na taswira Moja tu.
Wewe ni mtu ambaye unatamani uhalisia utazamwe katika two dimension tu wakati Kuna three mpaka four dimensions.
Wewe ni dictator uchwara uliyejificha kwenye kivuli Cha wastaharabu.
N.B Ndani ya mada kuu, huwa Kuna mada ndogo ndogo nyingi ili kuikamilisha mada kuu.
Ndani ya hizo mada ndio nguvu ya hoja huibuka na mitazamo tofauti hufikia harmony.
😂 job true trueHahahaaaa uwii
mwenye madaNani huyo?
SipingiWewe ni muhuni tu, sijawahi kuona Mwanamke mwenye tabia kama zako.
Unachochea ugomvi siku zote, unapenda kuwakandamiza wenzako, unaongea maneno yasiyo na staha kwa jamii.
POLE SANA MUHUNI.
Ni ukweli usiopingika kwamba kamwe hatuwezi kufanana, hatuwezi kukubaliana kila kitu na haitokaa itokee hivyo LAKINI kero ni inakuja pale ambapo mtu hajakubaliana na mawazo yako, badala ya kukupinga kwa hoja anakutukana ww, mwenza wako au hata mzazi wako. Hiyo sio sawa. Ingefaa wachangiaji nao watambue kwamba watu tunatofautiana katika uvumilivu. e.g. Mtu mwingine akitukanwa tu, hata kile kizuri alichonacho hatakisema tena.Pole ndugu,ila kwa aina ya uchangiaji wa jukwaa hili ukiamua kumfuatilia kila mmoja utaumia sana.Jua kuwa kila mmoja anao uhuru wa kusema akitakacho,na zaidi wengi hatujuani hatuonani,na kila mmoja ana malezi yake,ana tabia yake na kamwe hatuwezi kufanana,ukiona mnatofautiana mitazamo mpotezee,angalia yupi mnaweza enda sawa,mtashare mawazo na mitazamo,huku furaha yako ikisalia.
Mkuu umepotea sana sikuoni kabisa kwenye majukwaaHivyo ni vitu ambavyo haviepukiki mnapokutana wa watu wa jamii tofauti tofauti. Utofauti wa mtaani ni kwamba watu hawatoi hizo kejeli kwa kuogopa kupigwa au kutukanwa. Ila humu ni rahisi kwa sababu haukutani na mtu physically, hivyo hata akikutusi uwezi kumfanya chochote
mi nimeandika tu kwamba ameshalambwa sijui maswala ya ukweli au uongoSawa Mkuu.
UKWELI MARA NYINGI HUPINGWA NA WATU WASIO NA MAARIFA.
ASANTE MKUU
Sipingi ila unashindwa kujua jambo Moja dogo sana.Umeelewa nilichoandika Mkuu?
SIO KILA KITU NI LAZIMA UPINGE.
Wewe mwenyeweNani huyo?