Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😁 wewe wasema,, mimi ni nani nibishe? Huko sahihi"SIPINGI"
Ama kweli wewe ni Dume ila unatuzuga tu humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁 wewe wasema,, mimi ni nani nibishe? Huko sahihi"SIPINGI"
Ama kweli wewe ni Dume ila unatuzuga tu humu.
Nmekuelewa sana ndio maana nikauliza though naunga mkono hojaMkuu ukituliza akili utanielewa, ila Asante.
Upo sahihi Mkuu.Hivyo ni vitu ambavyo haviepukiki mnapokutana wa watu wa jamii tofauti tofauti. Utofauti wa mtaani ni kwamba watu hawatoi hizo kejeli kwa kuogopa kupigwa au kutukanwa. Ila humu ni rahisi kwa sababu haukutani na mtu physically, hivyo hata akikutusi uwezi kumfanya chochote
I’m all good..Acha kujichekesha BRAZAMENI.
Unajisikiaje kuigiza uanamke?
Huoni hapa unamzalilisha Depal?Acha kujichekesha BRAZAMENI.
Unajisikiaje kuigiza uanamke?
Umefuatilia mazungumzo yetu?Huoni hapa unamzalilisha Depal?
Huoni unaweka dhana kwenye jinsi asiyo jinasibisha nayo?
Ikiwa tofauti na hivi unavyomshutumu huoni una mkosea?
Wewe na hao unao walalamikia kwenye hoja yako ya msingi mna tofauti gani?
Akili kisoda nyingi hujiona sahihi kama mtoa mada wetu.
Pole Depal
Uelewa wako ni Mdogo, RUDI DARASANI.Sipingi ila unashindwa kujua jambo Moja dogo sana.
Mawazo ni yako ikiwa yapo ndani ya kichwa chako.
Ukiyatoa yatoe kwa watu mnao fanana
Ukiyaweka wazi iwe mitandaoni au kwenye kadamnasi basi jiandae kukosolewa, kupingwa, kudhihakiwa na ikiwezekana kubanduliwa kwa hoja yako.
Sasa unataka JAMII FORUM mtandao wenye watu mbali mbali, wenye fikra na mitazamo tofauti, wenye uhuru wa kuchangia au lah, wote wawe na attitude sawa?
Huoni una tatizo la kisaikolojia?
Hata huko Qoura mnapo pasema ukisoma coments utaona wanavyo pishana.
Sawa..Haiwezekani, unahitaji msaada kwakweli.
HAUPO SAWA.
Uzi huu wa kitapeliUelewa wako ni Mdogo, RUDI DARASANI.
Umesoma uzi wangu mpaka mwisho? Au unataka kuonekana kuwa unajua kujibu hata usivyovielewa.
ACHA KUKURUPUKA, TULIZA AKILI KABLA YA KUONGEA KITU.
Hii mada ni ndefu na pana sana, kuna upande unaweza kuwa sawa.Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.
Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.
USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
Usitake kunambia kwamba ukisha post uzi, anakaa kuanza kungojea reply kama vile ni mshahara!!?!!Kuna watu hawana heshima Mkuu, yani hawachagui maneno ya ku-comment kabisa.
Nimeshuhudia kwenye uzi wa mdau akijibiwa upuuzi mpka nikajihisi vibaya.
Watu wasio na heshima kama hawa wanachangia wadau wasiandike mada kwa kuogopa kutamkiwa maneno ya hovyo.
WABADILIKE AISEE, WANAKERA!
mkuu huo ndio unakua mchango wake, ndio mawazo na mtazamo wake.Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.
Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.
USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
Sawa Mkuu.Hii mada ni ndefu na pana sana, kuna upande unaweza kuwa sawa.
Lakini, kuna upande hoja zako zinahitaji nuance kubwa zaidi. Hoja zinahitaji kunyambulishwa zaidi.
JF ni open forum inayojinadi kuwa inathamini mazungumzo ya wazi.
Hujaweka wazi uhuru unaishia wapi na kuvunja staha kunaanzia wapi. Mfano, kuna watu wanaamini kumkosoa rais ni kumvunjia staha, kwa sababu yule ni rais wa nchi. Na kuna wengine wanaamini hii habari ya staha kwenye mijadala ya JF ni aina moja ya censorship tu, watu waachiwe uhuru wa kusema wanacjotaka. Sasa hapo tunapitaje? Inawezekana njia ya kupita ikawa sehemu fulani katikati hapo, kwamba watu wawe na uhuru wa kukisoa, lakini kuwe na namna ya kukosoa ambayo haikubaliki? Na vipi watu wanaosema kwamba mtu akishakuwa public figure ni fair game kumsema vyovyote, hayo ndiyo maisha aliyochagua, hutakiwi kuongoza mamilioni ya watu bila ya kuwa na kifua?
Kwa nini mtu anayechangia upuuzi asipingwe kwa hoja badala ya kukatazwa kuandika upuuzi?
Unawekaje mstari wa kusema hii ni dharau na kejeli kwenye siasa au dini, na huu ni ukweli mchungu tu ambao wewe hutaki kuukubali?
Mimi nikisema hizi dini za misahafu ya kuletewa zimejaa uingo na contradictiins, nikakuonesha contradictions hizo tufanye mazungumzo ya kimantiki kuzichambua, hapo nitakuwa nimeizidharau na kuzikejeli dini hizo au nimesema ukweli tu?
Nikisema rais Samia ni mjinga sana kwa kusema wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwa sababu kauli ile imetoa taswira ya kwamba rais karuhusu kila mtu kula rushwa kwa mujibu wa ofisi yake, hapo nitakuwa nimetoa kauki ya dharau kwa rais, au nitakuwa nimesema ukweli mchungu tu?
nachukia sana kuambiwa nimelamba asaliHii mada ni ndefu na pana sana, kuna upande unaweza kuwa sawa.