Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu

Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu

Hivyo ni vitu ambavyo haviepukiki mnapokutana wa watu wa jamii tofauti tofauti. Utofauti wa mtaani ni kwamba watu hawatoi hizo kejeli kwa kuogopa kupigwa au kutukanwa. Ila humu ni rahisi kwa sababu haukutani na mtu physically, hivyo hata akikutusi uwezi kumfanya chochote
Upo sahihi Mkuu.
 
Acha kujichekesha BRAZAMENI.

Unajisikiaje kuigiza uanamke?
Huoni hapa unamzalilisha Depal?
Huoni unaweka dhana kwenye jinsi asiyo jinasibisha nayo?
Ikiwa tofauti na hivi unavyomshutumu huoni una mkosea?

Wewe na hao unao walalamikia kwenye hoja yako ya msingi mna tofauti gani?

Akili kisoda nyingi hujiona sahihi kama mtoa mada wetu.

Pole Depal
 
Umefuatilia mazungumzo yetu?

Niyeye mwenyewe ndio kasema kuwa ni BRAZAMENI, kwahyo kausha.
 
Sipingi ila unashindwa kujua jambo Moja dogo sana.

Mawazo ni yako ikiwa yapo ndani ya kichwa chako.
Ukiyatoa yatoe kwa watu mnao fanana

Ukiyaweka wazi iwe mitandaoni au kwenye kadamnasi basi jiandae kukosolewa, kupingwa, kudhihakiwa na ikiwezekana kubanduliwa kwa hoja yako.

Sasa unataka JAMII FORUM mtandao wenye watu mbali mbali, wenye fikra na mitazamo tofauti, wenye uhuru wa kuchangia au lah, wote wawe na attitude sawa?

Huoni una tatizo la kisaikolojia?
Hata huko Qoura mnapo pasema ukisoma coments utaona wanavyo pishana.
Uelewa wako ni Mdogo, RUDI DARASANI.

Umesoma uzi wangu mpaka mwisho? Au unataka kuonekana kuwa unajua kujibu hata usivyovielewa.

ACHA KUKURUPUKA, TULIZA AKILI KABLA YA KUONGEA KITU.
 
Sahivi utakuta hata wazee wanatukana.
Tumekuwa na kizazi cha matusi kuona kama ni sehemu ya .maisha.

Nadhani ugumu wa maisha na stress vinachangia sana
Malezi mabaya ndio sababu Mkuu.

VIJANA WENGI HAWANA HESHIMA.
 
Uelewa wako ni Mdogo, RUDI DARASANI.

Umesoma uzi wangu mpaka mwisho? Au unataka kuonekana kuwa unajua kujibu hata usivyovielewa.

ACHA KUKURUPUKA, TULIZA AKILI KABLA YA KUONGEA KITU.
Uzi huu wa kitapeli
Uzi huu wa fikra duni
Uzi huu wa akili kisoda
Uzi huu wa mtu anayewaza kikenge kenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzi huu wa popoma
Uzi huu wa maamuma
Uzi huu wa kihiyo

N.B Darasa halikufanyi kuwa na maarifa, darasa linakupa uwezo wa kufikiri, kudadisi, kuchambua na kuhusisha mada mbali mbali ili upate logical answer kwenye issue husika.

Sasa Mimi na wewe nani anastahili kurudi shule?

Unapo chambua hoja/mtu kumbuka inaandikwa kwenye jamii forum hivyo tuna haki ya kusifia, kuponda na kukurekebisha.

Kilaza wa JF.
 
Habari zenu Wakuu,

Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.

Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.

Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.

USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
Hii mada ni ndefu na pana sana, kuna upande unaweza kuwa sawa.

Lakini, kuna upande hoja zako zinahitaji nuance kubwa zaidi. Hoja zinahitaji kunyambulishwa zaidi.

JF ni open forum inayojinadi kuwa inathamini mazungumzo ya wazi.

Hujaweka wazi uhuru unaishia wapi na kuvunja staha kunaanzia wapi. Mfano, kuna watu wanaamini kumkosoa rais ni kumvunjia staha, kwa sababu yule ni rais wa nchi. Na kuna wengine wanaamini hii habari ya staha kwenye mijadala ya JF ni aina moja ya censorship tu, watu waachiwe uhuru wa kusema wanacjotaka. Sasa hapo tunapitaje? Inawezekana njia ya kupita ikawa sehemu fulani katikati hapo, kwamba watu wawe na uhuru wa kukisoa, lakini kuwe na namna ya kukosoa ambayo haikubaliki? Na vipi watu wanaosema kwamba mtu akishakuwa public figure ni fair game kumsema vyovyote, hayo ndiyo maisha aliyochagua, hutakiwi kuongoza mamilioni ya watu bila ya kuwa na kifua?

Kwa nini mtu anayechangia upuuzi asipingwe kwa hoja badala ya kukatazwa kuandika upuuzi?

Unawekaje mstari wa kusema hii ni dharau na kejeli kwenye siasa au dini, na huu ni ukweli mchungu tu ambao wewe hutaki kuukubali?

Mimi nikisema hizi dini za misahafu ya kuletewa zimejaa uingo na contradictiins, nikakuonesha contradictions hizo tufanye mazungumzo ya kimantiki kuzichambua, hapo nitakuwa nimeizidharau na kuzikejeli dini hizo au nimesema ukweli tu?

Nikisema rais Samia ni mjinga sana kwa kusema wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwa sababu kauli ile imetoa taswira ya kwamba rais karuhusu kila mtu kula rushwa kwa mujibu wa ofisi yake, hapo nitakuwa nimetoa kauki ya dharau kwa rais, au nitakuwa nimesema ukweli mchungu tu?
 
Kuna watu hawana heshima Mkuu, yani hawachagui maneno ya ku-comment kabisa.

Nimeshuhudia kwenye uzi wa mdau akijibiwa upuuzi mpka nikajihisi vibaya.

Watu wasio na heshima kama hawa wanachangia wadau wasiandike mada kwa kuogopa kutamkiwa maneno ya hovyo.

WABADILIKE AISEE, WANAKERA!
Usitake kunambia kwamba ukisha post uzi, anakaa kuanza kungojea reply kama vile ni mshahara!!?!!
 
Habari zenu Wakuu,

Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.

Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.

Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.

USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
mkuu huo ndio unakua mchango wake, ndio mawazo na mtazamo wake.

Yawezekana ndio kiwango chake cha juu zaidi cha kufikiri na kuchangia maoni na mawazo yake juu ya bandiko husika...
 
Hii mada ni ndefu na pana sana, kuna upande unaweza kuwa sawa.

Lakini, kuna upande hoja zako zinahitaji nuance kubwa zaidi. Hoja zinahitaji kunyambulishwa zaidi.

JF ni open forum inayojinadi kuwa inathamini mazungumzo ya wazi.

Hujaweka wazi uhuru unaishia wapi na kuvunja staha kunaanzia wapi. Mfano, kuna watu wanaamini kumkosoa rais ni kumvunjia staha, kwa sababu yule ni rais wa nchi. Na kuna wengine wanaamini hii habari ya staha kwenye mijadala ya JF ni aina moja ya censorship tu, watu waachiwe uhuru wa kusema wanacjotaka. Sasa hapo tunapitaje? Inawezekana njia ya kupita ikawa sehemu fulani katikati hapo, kwamba watu wawe na uhuru wa kukisoa, lakini kuwe na namna ya kukosoa ambayo haikubaliki? Na vipi watu wanaosema kwamba mtu akishakuwa public figure ni fair game kumsema vyovyote, hayo ndiyo maisha aliyochagua, hutakiwi kuongoza mamilioni ya watu bila ya kuwa na kifua?

Kwa nini mtu anayechangia upuuzi asipingwe kwa hoja badala ya kukatazwa kuandika upuuzi?

Unawekaje mstari wa kusema hii ni dharau na kejeli kwenye siasa au dini, na huu ni ukweli mchungu tu ambao wewe hutaki kuukubali?

Mimi nikisema hizi dini za misahafu ya kuletewa zimejaa uingo na contradictiins, nikakuonesha contradictions hizo tufanye mazungumzo ya kimantiki kuzichambua, hapo nitakuwa nimeizidharau na kuzikejeli dini hizo au nimesema ukweli tu?

Nikisema rais Samia ni mjinga sana kwa kusema wazi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, kwa sababu kauli ile imetoa taswira ya kwamba rais karuhusu kila mtu kula rushwa kwa mujibu wa ofisi yake, hapo nitakuwa nimetoa kauki ya dharau kwa rais, au nitakuwa nimesema ukweli mchungu tu?
Sawa Mkuu.

HILI BANDIKO LIMENIFANYA NIJUE NADILI NA WATU WA NAMNA GANI.
 
nachukia sana kuambiwa nimelamba asali
 
Back
Top Bottom