Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Kwa dunia ya leo uhuru wa habari utapotea kama tech ya internet itakufa, nani bado anatumia majarida hayo wakati ana habari za dunia nzima kiganjani muda wote? Waandishi/wahandisi wenyewe chawa hawa wa kisasa? Tunapata raw news kwa sasa hamna za kuchujwa na wahariri. Too late...