Tayari Rostam ameanza kuonyesha umwamba wake katika kuisambaratisha NMG ili kutimiza azma yake ya kuua uandishi wa habari. Baada ya kununua hisa zote, ametangaza kupunguza wafanyakazi kwa kisingizio cha kupunguza gharama za uendeshaji.
Simjui kama ww ulivyo humjuiKwa hiyo wewe unamjua vizuri mkuu?
Au sio?Melo hana tamaa za kijinga kama hizo mkuu. Ingekuwa kuuza angeishauza tangu zamani.
Magazeti yote ya habari corporation na soon anainunua sahara media iliyofilisika.In the ofing airline inakujaMagazeti gani mkuu?
Duh kama huyajui basi italkuwa vigumu mimi kukuelezeaMagazeti ya Habari Corporation yapi mkuu?😨😳
Kila mtu Tanzania nzima anayajua,inakuwaje wewe huyajui,huyu jamaa alianiri watu wengi mno kuyasimamia hauo magazetiKama wewe unayajua lakini unagoma kuyataja basi mkuu; inatosha!
Thread 'Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?' Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?Naamini kila mtu kamsikia Rostam alipokuwa akiongea kutambulisha,ununuzi wa Nation Media,sasa Sahara Media loading
Sahara ni uongozi mbovu wa wenye mali.Yapo mengi mno tunaweza kuyaeleza lakini hayana faida yoyote tena.Acha dwni la kodi wanadaiwa na mkombozi bank bil 30.Japo najua ujanja washaufanya syar tv,rfa na kiss fm vyote viliondoldwa kwenye umiliki wa sahara.Thread 'Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?' Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?
Habari Corporation ilikufa siku nyingi sana mkuu. Au wewe hapo ulipo unayona magazeti ya Rai, This Day, Dimba, na Mtanzania sokoni?Magazeti yote ya habari corporation na soon anainunua sahara media iliyofilisika.In the ofing airline inakuja
But kampuni ipoHabari Corporation ilikufa siku nyingi sana mkuu. Au wewe hapo ulipo unayona magazeti ya Rai, This Day, Dimba, na Mtanzania sokoni?