Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hakuna waandishi wa habari bongo anamuona mtu kavaa kapelo bado anauliza nakuona hapo umetupia kapelo wote wameathiriwa na udaku!Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,
1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari, je ni kweli? Je kuna ushahidi wowote wa athari uliowakumba waandishi?
Haya maswali tujadili objectively najua mkuu Pascal Mayalla unaweza kutupa neno pia
Asante sana, kila zama na zama zake. Let the bygones be bygones!, ningeshauri tujadili uhuru wa habari kipindi hiki cha Samia!.Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,
1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari, je ni kweli? Je kuna ushahidi wowote wa athari uliowakumba waandishi?
Haya maswali tujadili objectively najua mkuu Pascal Mayalla unaweza kutupa neno pia
nadhani ni muhimu kuweka kumbukumbu sawaAsante sana, kila zama na zama zake. Let the bygones be bygones!, ningeshauri tujadili uhuru wa habari kipindi hiki cha Samia!.
P
Yeah haikuwepo kabisa
Ni kweli, ila the African traditional, talk only the good of the dead ones!. Ila for the sake of history, tuliisha iandika na kumbukumbu ziponadhani ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa
AkhsanteNi kweli, ila the African traditional, talk only the good of the dead ones!. Ila for the sake of history, tuliisha iandika na kumbukumbu zipo
-
- Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer
- Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
- Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini
- Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV
- Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikteta wa Serikali Magufuli, yalaaniwa na yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari
- Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa - Pasco wa JF!
Miaka 2 ya Magufuli: Je, Media imetimiza Wajibu wake as Watchdog (With Objectivity) au Kwa kusifu tu Bila Kukosoa?
-
Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
-
Uchaguzi Mkuu ni Kipindi Cha Neema kwa Media!. Ni Kipindi cha Mavuno!. Jee Bahasha Hizi Ni Halali?!.
-
Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu
P