Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi.
Lakini ukweli ni kuwa uwe uhuru wa kisiasa au uhuru wa kujieleza usiwe uhuru ambao aunatumiwa vibaya.
Tutambue kuwa wanasiasa njaaa wa upinzani hapa Tanzania ni waongo na wapotoshaji wakubwa. Hivyo wao kuachiwa waropoke hovyo ni sawa na kuwapa fursa ya kuongea uongo na kupotosha umma.
Mfano ni jinsi walivyopotosha juu ya ripoti ya CAG ambayo kiiukweli majibu yake hutegemea na ripoti za LAAC na PAC lakini wao ndio wamekuwa watoa majibu.
Uhuru wa kujieleza usiwe sababu ya wanasiasa kupotosha kuwa watu zaisdi ya mia moja ili kuchochea chuki wameuliwa ili hali ukweli ni watu
wanne.
uhuru wa kujieleza isiwe sababu ya kupinga miradi ya serikali bila hoja. Kupinga hata ujenzi wa miundombinu kama daraja la Busisi kisa tu mnataka kuonekana mnajua kuogea taralila kibao.
Mimi Mzalendo Idugunde.