The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Kwa maelezo yako ushaelewa utofauti wa kutukana na kushauri au kukosoa. Maneno yote uliyoandika hapo juu siyo makosa kwa mujibu wa Sheria zetu. Lakini unafikiri unayempelekea ujumbe ili arekebishe kitu atayapokeaje? [emoji848]Hujajibu nani anutunga sheria za kudhibiti uhuru?
Kwa nini hayaorodheshwi matusi yote na adhabu zake ambayo mtu akiyatumia atafikishwa mahakamani? Ukiacha wazi tu hivyo hata mtu akisema Kiongozi fulani ni "dhaifu", "dikteta uchwara" "mpumbavu" " mshamba" n.k ataambiwa ametukana na kusumbuliwa na dola.
Atayachukulia Kama unamshauri au unamdhalilisha? Na ipi chance ya mawazo yako kutumika? So hapa unatakiwa kutumia busara zako binafsi, Kama kitu unachafikiria kina manufaa.
Unamuona lema, au mbowe wanachoongea kwenye hoja zao, Mara nyingi wanakosoa na kushauri lakini kwa busara. Ila kuna watu wanapambana badala kushauri.
Ukifika wakati wa uchaguzi kila mtu anaweza kusema chochote dhidi ya viongizi wa chama kingine ili apate kura, lakini uchaguzi ukishapita Basi sote tunabaki washauri tu wa serikali iliyo madarakani.