Uhuru wa Kujieleza sio kukosoa kila jambo na kupotosha Umma juu kinachoendelea nchini

mungumtu hayupo, acha watu waongee!! Walifumbwa midomo kwa miaka mingi!! Uhuru! uhuru!

Mbona mtukufu wako alishindwa kutoa hata uhuru wa wananchi kuchagua viongozi wawapendao?
Sasa kwa kuwa watu wapo huru ndio mdanganye kuwa bwawa la umeme rufiji lilipasuka na kusababisha mafuriko mpaka Morogoro? Uhuru gani huu?

Alafu kuwa na heshima unasikia?
 
Sasa kwa kuwa watu wapo huru ndio mdanganye kuwa bwawa la umeme rufiji lilipasuka na kusababisha mafuriko mpaka Morogoro? Uhuru gani huu?

Alafu kuwa na heshima unasikia?
Hiyo ni kazi ya Msemaji wa Serikali kutolea maelezo ya huo upotoshaji! Kipi kinacho kusababisha ulie lie humu?

Wewe Mataga vipi bhana!!
 
Hiyo ni kazi ya Msemaji wa Serikali kutolea maelezo ya huo upotoshaji! Kipi kinacho kusababisha ulie lie humu?

Wewe Mataga vipi bhana!!
Tumia akili we mburula, yaani watu kusema uongo mpaka msemaji wa serikali aseme? Acha uzandiki
 
Tumia akili we mburula, yaani watu kusema uongo mpaka msemaji wa serikali aseme? Acha uzandiki
Ndiyo maana mungu wenu amekufa! Maana alizungukwa na viazi mviringo kama wewe, badala ya watu wenye akili timamu!
 
Ndiyo maana mungu wenu amekufa! Maana alizungukwa na viazi mviringo kama wewe, badala ya watu wenye akili timamu!
Kwa hii post tayari umethibitisha we ni nani.
 
Nani anatakiwa kuweka hiyo mipaka ya uhuru??
Ndiyo maana kuna Sheria za nchi na zingine ni kujiwekea mwenyewe tu.

Kwa mfano, mtu anamkosoa kiongozi fulani, hii ni haki yake na Yuko sahihi.
Lakini anapokosoa huku akitumia matusi au kuongea kwa lugha ambayo haiheshimu cheo Cha yule kiongozi, Basi anakuwa ametia haki yake au uhuru wake vibaya. Na ndiyo hapa utakuta kesi inafunguliwa ya kwamba umemtukana. Na watu msio elewa maana ya uhuru mtasema wanamuonea.
 
Ukweli upi? Ripoti ya CAG bado haijapatiwa majibu, lakini mnapotosha juu ubadhirifu ambao kama upo ni LAAC na PAAC ndio huwa wanatoa majibu.

Hizo kamati za majizi ya kura zitaleta jipya lipi?
 
Hujajibu nani anutunga sheria za kudhibiti uhuru?

Kwa nini hayaorodheshwi matusi yote na adhabu zake ambayo mtu akiyatumia atafikishwa mahakamani? Ukiacha wazi tu hivyo hata mtu akisema Kiongozi fulani ni "dhaifu", "dikteta uchwara" "mpumbavu" " mshamba" n.k ataambiwa ametukana na kusumbuliwa na dola.
 
Wewe nawe unadai unazo akili.
 
Tumia akili we mburula, yaani watu kusema uongo mpaka msemaji wa serikali aseme? Acha uzandiki

..uhuru wa kujieleza sio kusifia kila jambo na kuupotosha umma kuhusu kinachoendelea nchini.
 
Ukweli upi? Ripoti ya CAG bado haijapatiwa majibu, lakini mnapotosha juu ubadhirifu ambao kama upo ni LAAC na PAAC ndio huwa wanatoa majibu.
Yaani wewe hakika ni Zuzu. CAG report ikishawekwa hadharani bungeni inakuwa wazi na huru kwa kila Mtanzania kuitumia. Mbona waziri wa maliasili alipomtumbua mtu kabla ya LAAC na PAC kujadili hukusema huu upuuzi ulioweka hapa?
 
Noted, zingatia pia kuwa Uzalendo siyo sifa na kuabudu kwa watawala, kisa tu wanashikilia vyanzo vyako vya kula!
 
Yaani wewe hakika ni Zuzu. CAG report ikishawekwa hadharani bungeni inakuwa wazi na huru kwa kila Mtanzania kuitumia. Mbona waziri wa maliasili alipomtumbua mtu kabla ya LAAC na PAC kujadili hukusema huu upuuzi ulioweka hapa?
Amemtumbua? Kumsimamisha kazi ndio kumtumbua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…