Uhuru's 5th trip to Beijing

Uhuru's 5th trip to Beijing

Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
Kilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.c
Tz inaongoza kwa uchumi shirikishi Africa, chakula cha kutosha mpaka ku export. Matumizi mazuri ya pesa za miradi na miradi inayo tekelezeka. Nimejitahidi kukujibu kadri ya nafasi ilivyo tosha, ila mwisho siwezi kuku lazimisha uamini. Ila siku si nyingi vitu vitajiweka wazi
 
😂😂😂 idiot.
As of 2017 Tanzania is among 37 countries wenye deni Kubwa na hawajiwezi hata Kodogo. Swali ni what have you done with over $5 billions debt forgiven?? 😂😂 Hata project moja hakuna!

Factsheet - Debt Relief Under the Heavily Indebted Poor Countries (HIPC) Initiative

Tanzania ipo kwenye group la post-completion, we are done with HIPC long time ago... but why should I argue with you, data shows Kenya is in deep debt than Tanzania.. now more than 50% of your GDP... soon mtajiunga na lile group la Eritrea, Somalia and Sudan.
 
Kilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.c
Tz inaongoza kwa uchumi shirikishi Africa, chakula cha kutosha mpaka ku export. Matumizi mazuri ya pesa za miradi na miradi inayo tekelezeka. Nimejitahidi kukujibu kadri ya nafasi ilivyo tosha, ila mwisho siwezi kuku lazimisha uamini. Ila siku si nyingi vitu vitajiweka wazi

Ingekuwa kilimo hakifanikiwi bongo basi bei zingekuwa juu sana za chakula.. anayeelewa uchumi amenielewa..
 
Ulivyo anza kwa kusema Kenya ina kila kitu ambacho Tz haina ukanichosha kuanza kuku jibu! Ila ngoja nijitahidi, Unaposema usafiri wa umma wakenya uko vizuri unathibitisha hujawahi kufika Nairobi, ata huko mashinani hamna utaratibu wa kueleweka. Tz kila mkoa unajengwa stand za bus zenye huduma zote za msingi kwa abiria,
Wewe ni mgonjwa tena wa akili...karibu mathari hospital
 
Ulivyo anza kwa kusema Kenya ina kila kitu ambacho Tz haina ukanichosha kuanza kuku jibu! Ila ngoja nijitahidi, Unaposema usafiri wa umma wakenya uko vizuri unathibitisha hujawahi kufika Nairobi, ata huko mashinani hamna utaratibu wa kueleweka. Tz kila mkoa unajengwa stand za bus zenye huduma zote za msingi kwa abiria,
Tanzania ni nchi ya mateso kupoteza muda na kuuwa vipaji.
Tuanze kwenye Matatu kila mtu anakaa vizuri na mziki plus tv. Hapa Tanzania kuanzia Dar es Salaam, Arusha, Mwanza usafiri wa Daladala ni kama Jehanam mnashindiliwa kama mnapelekwa kwenye Concentration camp za wakazi wa Nazis.

Njoo kwenye mabasi Kenya mtu anashinda Kisumu usiku anasafiri Asubuhi anafanya biashara Nairobi jioni anaondoka anaokoa gharama za muda na Hoteli. Tanzania itakuchukua siku nzima toka Arushahadi Dar itakubidi ulale na ukimaliza shuhuli huwezi kurudi inabidi ulale tena.
 
Kilimo Tz kinalipa sana na mifano ipo hai bahati mbaya kama wewe ulipata hasara, hao wataalamu unao wapuuza ndiyo wanasema Kenya inasonga na Tz pia inasonga sasa kwanini hukatae waki sema vizuri Tz! Ndiyo maana nikakwambie ulete takwimu. Ninachojua Kenya inaongoza kwa kukumbwa na njaa kwa EA, inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Miradi ambayo inachukua pesa nyingi na kuiingiza kwenye madeni yasiyo eleweka, kodi kubwa zinaongezwa ili kulipa madeni e.t.c
Tz inaongoza kwa uchumi shirikishi Africa, chakula cha kutosha mpaka ku export. Matumizi mazuri ya pesa za miradi na miradi inayo tekelezeka. Nimejitahidi kukujibu kadri ya nafasi ilivyo tosha, ila mwisho siwezi kuku lazimisha uamini. Ila siku si nyingi vitu vitajiweka wazi
Miradi yetu bubu ya kizalendo na kufikirika haitatusaidia tulivyoachiwa tu na mkoloni hatuwezi kuvitumia vinakufa bado tunapiga kelele ya kusonga
 
Chakula Tanzania ni bei ya Chini kwa jasho na damu la wakulima. Yaani mkulima anazidi kuwa masikini kabisa bila matumaini kwa kumnyima soko halafu unafurahia bei
Jasho la damu! Ww jamaa unamatatizo binafsi na bila shaka haujui market forces zinavyo fanya kazi. Tatizo la wakulima wa Tz wengi ni small scale farmers ambao hawawezi ku enjoy economies of scale na mbinu wanazo tumia ni za kizamani. Wapo watu wanaofanya kilimo cha biashara na wanatoboa vizuri mno.
 
Ila kiukweli Mchina Mungu anamuona
Alicho wafanyia Wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa na ndoto nzuri kilicho tokea

Hapa walikuwa wakiota Mchana
WORLD CLASS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20181101-WA0001.jpeg
Baada ya ndoto Matokeo yake
IMG-20181101-WA0000.jpeg
 
Jasho la damu! Ww jamaa unamatatizo binafsi na bila shaka haujui market forces zinavyo fanya kazi. Tatizo la wakulima wa Tz wengi ni small scale farmers ambao hawawezi ku enjoy economies of scale na mbinu wanazo tumia ni za kizamani. Wapo watu wanaofanya kilimo cha biashara na wanatoboa vizuri mno.
Acha porojo kama za Mwijage hakuna sehemu duniani mkulima anateseka kama Tanzania unalima kwa Nguvu zako bado unapata soko mtu anakunyima usiwauzie Wakenya.
 
Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
Yaani kwanza Nikupe tu pole
Unaijua hiyo Kenya wewe!!
Hebu tembeeni msipende Kusikia au kuona vipicha vya ku Edit Unaanza kuweweseka
Nenda Kenya Kawaone Wakenya asili
utajua maisha yao vizuri sio kukalia porojo mitandaon
 
Ila kiukweli Mchina Mungu anamuona
Alicho wafanyia Wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa na ndoto nzuri kilicho tokea

Hapa walikuwa wakiota Mchana
WORLD CLASS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 917796Baada ya ndoto Matokeo yakeView attachment 917797
Ambacho tungeongea ni kama Reli ingekuwa mbovu lakini Train ambayo hata kesho inaweza kununuliwa nyingine
 
Tanzania ni nchi ya mateso kupoteza muda na kuuwa vipaji.
Tuanze kwenye Matatu kila mtu anakaa vizuri na mziki plus tv. Hapa Tanzania kuanzia Dar es Salaam, Arusha, Mwanza usafiri wa Daladala ni kama Jehanam mnashindiliwa kama mnapelekwa kwenye Concentration camp za wakazi wa Nazis.

Njoo kwenye mabasi Kenya mtu anashinda Kisumu usiku anasafiri Asubuhi anafanya biashara Nairobi jioni anaondoka anaokoa gharama za muda na Hoteli. Tanzania itakuchukua siku nzima toka Arushahadi Dar itakubidi ulale na ukimaliza shuhuli huwezi kurudi inabidi ulale tena.
Duniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidi
 
Yaani kwanza Nikupe tu pole
Unaijua hiyo Kenya wewe!!
Hebu tembeeni msipende Kusikia au kuona vipicha vya ku Edit Unaanza kuweweseka
Nenda Kenya Kawaone Wakenya asili
utajua maisha yao vizuri sio kukalia porojo mitandaon
Una mfano wa mahali Kenya hali ni mbaya kuliko Tanzania
 
Duniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidi
Amesahau Kuwa Kenya+Uganda Bado Nafasi ipo kwa Tanzania kiukubwa
 
Duniani kote mass transport inahusisha watu kuwahishwa kufika wanapo kwenda, hiyo ndiyo priority. Kama lilivyo dhumuni la DaRT. Ata hivyo kwenye ma3 mbona watu wanajazana sana tu! nahisi wewe umehadithiwa habari za Nai tu. Kuweka screen kwenye kiti kwa safari ya za ndani ya jiji huo ni ushamba kama siyo ujinga. Kuhusu Kisumu - Nai kufika haraka na kurudi una maana ma bus yanayo tumika huko yana kimbia sana! Hapo sija kuelewa, ila ukiwa umeamua kuponda kitu tumiaga akili kidogo umbali wa Dar-Arusha ni mrefu kwa almost 100km na wa Nai-Kisumu au ungelinganisha na Dar-Bukoba ili ujifurahishe zaidi
Huwezi kuelewa ni kwamba Wakenya wanasafiri usiku na Mchana hakuna kulala.
Sisi tunalala na mashine zinalala mfanya biashara analazimishwa kufunga biashara na kusafiri mchana.
Unamlaza mtu aliyetoka Mwanza Morogoro kisa huwezi kulinda ni aibu
 
Una mfano wa mahali Kenya hali ni mbaya kuliko Tanzania
Duh!! Kwa hiyo wewe huijui Kenya halafu upo busy kuitetea!! Nenda google kaulize kama una roho ya huruma machozi yatakulenga.
 
Huo niupumbavu
Unajua nikiasi gn chapesa kilicho kopwa kutengenezwa kwa Mradi huo!!
Unatetea upuuzi
Wamekopa kutengeneza Reli au kununua Train ?Maana sisi tunajenga reli pia ambayo hatujui itapita ipi labda ya makaa ya mawe.
 
Back
Top Bottom