Uhuru's 5th trip to Beijing

Uhuru's 5th trip to Beijing

Wewe unaijua Kenya ipi labda ukiulizwa?
Frustration tunazo maana tunalazimishwa na CCM kuwa Masikini wakati tuna Jirani kama Kenya angenunua mazao yetu
Kenya anapesa ipi wakati yeye masikini wakutupwa😂😂😂Chakula anapewa cha msaada. Ajira Kenya watu hawana😂😂😂 Wanapesa gani yakununua chakula??
 
.Binafsi nimependa vile unavyoeleza mambo kinaga ubaga bila kusita jambo ambalo hata maripota wa bongo hawawezi kulifanya kwa sababu hawana Uhuru wowote .Ni dhahiri shairi kwamba nchi yenu inakabiliwana majanga mengi ambayo serikali hujaribu kuyaficha kwa kuhakikisha hayaripotiwi tofauti na Kenya, wanahabari wanaruhusiwa kuanika habari zozote watakavyo na ndio maana wengi humu huikebehi Kenya bila kujikumbusha hali ya nchi yao. Hayo yanayofichwa humo bongo yataendelea kufichuka na dunia itagundua huu unafiki wenu.
Hivi unaweza ludia kusoma ulicho andika??😂😂😂
 
Wamenikosa maake najua ukweli hawana nia nzuri na ndio maana sehemu yoyote ambayo ina watu wenye kutamani maendeleo hawaitaki
Kwanza wewe unamaendeleo gani?? Unategemea serikali ikuletee chakula mezani??😂😂😂 Hii ni serikali ya hapa kazi. Hatutaki kuwa tegemezi wa nchi nyingine. China pia wako na malengo yao pia wana masikini huko.. Kama unategemea serikali hapo sahau. Fanya Kazi. Hacha kuwa mtoto wa mama.😂😂
 
Kenya anapesa ipi wakati yeye masikini wakutupwa[emoji23][emoji23][emoji23]Chakula anapewa cha msaada. Ajira Kenya watu hawana[emoji23][emoji23][emoji23] Wanapesa gani yakununua chakula??
Mbona mmewanyima kuwauzia Mahindi wameyatoa Zambia na Brazil na wanakula Ugali bila shida au nyie mlijua watakufa
 
Kwanza wewe unamaendeleo gani?? Unategemea serikali ikuletee chakula mezani??[emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni serikali ya hapa kazi. Hatutaki kuwa tegemezi wa nchi nyingine. China pia wako na malengo yao pia wana masikini huko.. Kama unategemea serikali hapo sahau. Fanya Kazi. Hacha kuwa mtoto wa mama.[emoji23][emoji23]
Hivi anachotakiwa mtu ni kufanya kazi kama kichaa au anatakiwa apate kipato?
Maana nimelima kwa bidii sasa wakati wa kupata hela unanizuia Nisimuuzie Otieno au Njoroge kwa 80,000 gunia bali nimuuzie Masanja au Komba kwa 30,000 ambayo hailingani na gharama za uzalishaji ili nizidi kuwa masikini unidanganye kuna Mafisadi wameiba nikupe kura.
 
Tanzania ni nchi ya mateso kupoteza muda na kuuwa vipaji.
Tuanze kwenye Matatu kila mtu anakaa vizuri na mziki plus tv. Hapa Tanzania kuanzia Dar es Salaam, Arusha, Mwanza usafiri wa Daladala ni kama Jehanam mnashindiliwa kama mnapelekwa kwenye Concentration camp za wakazi wa Nazis.

Njoo kwenye mabasi Kenya mtu anashinda Kisumu usiku anasafiri Asubuhi anafanya biashara Nairobi jioni anaondoka anaokoa gharama za muda na Hoteli. Tanzania itakuchukua siku nzima toka Arushahadi Dar itakubidi ulale na ukimaliza shuhuli huwezi kurudi inabidi ulale tena.

Mass transit inaitwa, the worldwide means of public transport,
You surprised me mkuu, Kwamba unataka safari ya Kariakoo -makumbusho ufungiwe tv kwenye Daladala?
 
Wamekopa kutengeneza Reli au kununua Train ?Maana sisi tunajenga reli pia ambayo hatujui itapita ipi labda ya makaa ya mawe.
Wewe ni nyumbu, alafu una kichaa.
 
Nadhani kuna vitu vingine inafaa kuona kwa macho pia inasaidia na nitaangalia huko zaidi.Kuliko hizi Propaganda pamoja na majarida ya theory ya kiuchumi ambayo tunamezeshwa Watanzania kuaminishwa kwamba tunasonga.
Kenya wana kila kitu ambacho Tanzania tunajaribu kuwa nacho kwa sasa. Miundo mbinu ya Kenya Kuanzia Nairobi na miji mingine ni ndoto kwetu ya miaka 20. Mambo ya Ndege kwao Bandari na usafiri wa Umma sisi tunafuata.
Viwanda Kenya sio swala jipya wakati sisi tunafikiria Cherehani nne kama kiwanda. Biashara ya Kimataifa kuhusu Export nadhani unajua sisi tunachofanya hapa ni hakuna.
Kilimo Kenya mtu akilima au akifuga anaona kabisa maisha yakibadilika hapa tunaishia bei elekezi na kuzuia yasitoke.
Makaazi ya watu kuanzia Isibania mpaka Lunga Lunga au Namanga mpaka Isiolo ni tofauti na kwetu .
Elimu yetu wakati vitabu vinasema kazi ya kichwa ni kubeba mizigo huwezi kulinganisha ufahamu wa Darasa la nane Kenya na Form six wetu.
Asante kwa kusema ukweli ila chunga usivamiwe na wenzako wasiopenda ukweli
 
Back
Top Bottom