Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Habari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo

Alikuja kuniambia siku moja Kuna dada ake angependa niwe shemeji yake dada ake alikuwa sio haba kweli tukazama mapenzini na dada yake kiasi dogo akawa anachekwa kitaa na nyumbani Wana muattack kuwa anamtafutia dada ake mabwana ikaenda Mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa karibu Sana na dada yake one day dogo alinilalamikia Sana kuwa dada yake ni wa kupita tu Mimi na yeye ushikaji sio wa kupita alilalamika mno kuwa kumpotezea sio fair

Ikaenda Mimi na dada yake tukaachana dogo kahangaika mno kutuunganisha ila wapi dogo alikuwa karibu na Mimi Sana Iko kipindi akimlaumu dada yake

Imeenda nae mahusiano yake yakawa Yana haribika namjenga na kumtia moyo Hadi Leo hii dogo. Huwa Kila siku lazima anipigie simu akiamka kunijulia Hali mwanzo nilikuwa naona usumbufu now akipiga lazima nipokee

Akija mkoa nilipo lazima alete zawadi kwangu akija lazima anitoe out na atake tukae nae mda wote tunapiga story sasa Huwa najiuliza Mimi Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?
 
a few moment later
0901502B-DC7A-431C-BD0C-5D08F3196505.jpeg
 
Habari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo

Alikuja kuniambia siku moja Kuna dada ake angependa niwe shemeji yake dada ake alikuwa sio haba kweli tukazama mapenzini na dada yake kiasi dogo akawa anachekwa kitaa na nyumbani Wana muattack kuwa anamtafutia dada ake mabwana ikaenda Mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa karibu Sana na dada yake one day dogo alinilalamikia Sana kuwa dada yake ni wa kupita tu Mimi na yeye ushikaji sio wa kupita alilalamika mno kuwa kumpotezea sio fair

Ikaenda Mimi na dada yake tukaachana dogo kahangaika mno kutuunganisha ila wapi dogo alikuwa karibu na Mimi Sana Iko kipindi akimlaumu dada yake

Imeenda nae mahusiano yake yakawa Yana haribika namjenga na kumtia moyo Hadi Leo hii dogo Huwa Kila siku lazima anipigie simu akiamka kunijulia Hali mwanzo nilikuwa naona usumbufu now akipiga lazima nipokee

Akija mkoa nilipo lazima alete zawadi kwangu akija lazima anitoe out na atake tukae nae mda wote tunapiga story sasa Huwa najiuliza Mimi Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?

Bira shaka dogo ni wakishua, na ni mtoto wa kiume pekeake nyumbani kwao, bas huenda anatamani kuwa na bond nzuri na wewe kama mwanaume mwenzake, lakn wewe unaanza kumhisi vibaya
 
Wakishua kiasi ana bro wake ila Huwa haziungi maana yupogo serious Sana sijamuhisi vibaya nimeshangaa tu Nina muheshimu Sana tu dogo
 
Huyo ndo soul mate wako kama hana elements za kishoga lakini,Kama ni soul mate wako huyo ameletwa ili akusadie
Huenda yaani no matter ata nikizinguaje always Huwa upande wangu ata kama naona Mimi nimezingua
 
Back
Top Bottom