Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Siamini kama Kuna mcheza Mpira beki katili alafu shoga na mvuta Bangi alafu shoga

Sjui tu Huwa ananichukuliaje alafu kwao wote tu Huwa Wananipenda ila yeye amezidi
Upo mji gani weye??
Likitamkwa neno shoga wewe unadhani ni wale waliolegea kama mlenda, kalaghabaho.

Wapo wavuta bangi, vijana ngangari kabisa ila ndo ivo sio riziki.
 
Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?
Sasa si bora wewe wa kiume Mimi wa kike ananipenda vibaya mno mpaka wengine wananionea wivu Mimi nina nini mbaya Mimi namchukulia km mdogo wangu tu wala sina mambo ya kutoka nje ya mstari, jiulize je huyo dogo ana ndugu wa kiume na je huyo ndugu wa kiume anamtreat vipi?

In short dogo amekuchukulia km bro tu nothing else km unahisi ana element za kupiwa nyuma chunguza mahusiano yake muulize ana manzi wangapi alionao ili akupe ABC zake nina imani kuhusu hilo lazima afunguke na pia muulize kuhusu bro zake wanamtreat vipi utapata uelewa wa maswali unayojiuliza
 
Lkn mapenzi yake yamepitiliza,how come anakupigia kila siku,na hayo mengine sijui zawadi nini,sio kawaida ushkaji wa namna hiyo
Yaani Huwa nashangaa Kuna mdogo wake wa kike pia wa chuo yupo first year nae watu huzani namdinya huja gheto kukaa usiku anasepa
Yeye yaani akiwa free tu hana Cha kufanya must anipigie
 
Wapo wenye ushkaji wa hivi, ushkaji fulani hivi wa kujaliana sana kama mtu na demu wake, ila mwisho wa siku wanaume wengi hatupendi hizo mbanga za kugandana, mwisho wa siku jamaa wa namna hiyo huishia kuumizwa na huyo rafiki (wewe) maana kwako ni michosho.

Na mbaya zaidi inafikia hatua yeye anakujali, mpaka kwenu anasaidia ila wewe uko mbali kinoma na yeye, wala hujali kuhusu yeye.

Inakuaga kama analazimisha urafiki ila bond haziungani, zinagoma kabisa.
 
Sasa si bora wewe wa kiume Mimi wa kike ananipenda vibaya mno mpaka wengine wananionea wivu Mimi nina nini mbaya Mimi namchukulia km mdogo wangu tu wala sina mambo ya kutoka nje ya mstari, jiulize je huyo dogo ana ndugu wa kiume na je huyo ndugu wa kiume anamtreat vipi?

In short dogo amekuchukulia km bro tu nothing else km unahisi ana element za kupiwa nyuma chunguza mahusiano yake muulize ana manzi wangapi alionao ili akupe ABC zake nina imani kuhusu hilo lazima afunguke na pia muulize kuhusu bro zake wanamtreat vipi utapata uelewa wa maswali unayojiuliza
Huwa ananipa kuongea nao adi number alinipa wawili haikuchukua round mmoja akaanza kulalamika dogo ana mcheat na videmu vingine 🙌
 
Binafsi Mimi ni introvert sinaga marafiki kwa Sasa.

Ila kutokana na story zangu, utundu utundu na affection watu ambao nimewai kukaa nao huwaga wanapenda Sana campan yangu.

Ni kawaida kutokea mambo Kama hayo HIO NDIO MAANA HALISI YA RAFIKI WA DHATI.
 
Wapo wenye ushkaji wa hivi, ushkaji fulani hivi wa kujaliana sana kama mtu na demu wake, ila mwisho wa siku wanaume wengi hatupendi hizo mbanga za kugandana, mwisho wa siku jamaa wa namna hiyo huishia kuumizwa na huyo rafiki (wewe) maana kwako ni michosho.

Na mbaya zaidi inafikia hatua yeye anakujali, mpaka kwenu anasaidia ila wewe uko mbali kinoma na yeye, wala hujali kuhusu yeye.

Inakuaga kama analazimisha urafiki ila bond haziungani, zinagoma kabisa.
Huwa ananisema kabisa na Mimi atleast per week mara mbili humjulia Hali ili ni balance mzani Kila kitu au Kila hatua anayopiga kwenye maisha must aniambie
 
Wapo wenye ushkaji wa hivi, ushkaji fulani hivi wa kujaliana sana kama mtu na demu wake, ila mwisho wa siku wanaume wengi hatupendi hizo mbanga za kugandana, mwisho wa siku jamaa wa namna hiyo huishia kuumizwa na huyo rafiki (wewe) maana kwako ni michosho.

Na mbaya zaidi inafikia hatua yeye anakujali, mpaka kwenu anasaidia ila wewe uko mbali kinoma na yeye, wala hujali kuhusu yeye.

Inakuaga kama analazimisha urafiki ila bond haziungani, zinagoma kabisa.
Long time ago kuna mwamba mmoja alikuwa jirani yangu halafu mwana,unashangaa mmetoka kupiga stori home hlf baada ya mda anakuja tena,nikawa sielewi inakuwaje,lkn siku moja mtoto wa mama mdogo kabinti hivi,kakaniambia unajua kwanini mwenzio kila mara huja hapa? Ujue ananifukuzia mimi,dah ndio nikaelewa

Kwahiyo huyo mwamba sijui ana ajenda gani?
 
Back
Top Bottom