Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

Rafiki wa kweli anatakiwa kumalizana na rafiki yake wakiwa wawili na sio kushirikisha mtu wa 3. Kama kuna vitu dogo anavifanya havikuridhishi mchane tu mwambie hizo mbanga huzifagilii. Kama ni mimi ningemchana kuhusu kupiga simu hovyo kila mara za kusalimia na hivyo vizawadi. Wanaume kugandana haifai. Simu inatakiwa mara mojamoja. Awe anatuma tu msg watsapp.
Nilikuwaga sipokei na namwambia anasema wewe mshikaji wangu tu ata mda niliopitia magumu watu wengi wakinitenga alikuwa na Mimi bega Kwa bega
 
Habari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo

Alikuja kuniambia siku moja Kuna dada ake angependa niwe shemeji yake dada ake alikuwa sio haba kweli tukazama mapenzini na dada yake kiasi dogo akawa anachekwa kitaa na nyumbani Wana muattack kuwa anamtafutia dada ake mabwana ikaenda Mimi nikawa nampotezea maana nilikuwa karibu Sana na dada yake one day dogo alinilalamikia Sana kuwa dada yake ni wa kupita tu Mimi na yeye ushikaji sio wa kupita alilalamika mno kuwa kumpotezea sio fair

Ikaenda Mimi na dada yake tukaachana dogo kahangaika mno kutuunganisha ila wapi dogo alikuwa karibu na Mimi Sana Iko kipindi akimlaumu dada yake

Imeenda nae mahusiano yake yakawa Yana haribika namjenga na kumtia moyo Hadi Leo hii dogo Huwa Kila siku lazima anipigie simu akiamka kunijulia Hali mwanzo nilikuwa naona usumbufu now akipiga lazima nipokee

Akija mkoa nilipo lazima alete zawadi kwangu akija lazima anitoe out na atake tukae nae mda wote tunapiga story sasa Huwa najiuliza Mimi Nina kitu Gani special kinachofanya anithamini ivyo?
Hoohoooo isije kuwa ndiyo wale madogo wanao jihita makada wa ccm
 
Kuendana nyota japo yako iko juu kuliko yake so Malaika wenu wamependana hivyo kitendo cha huyo chalii kuwa karibu na ww kuna mambo yake huwa yanaenda vizuri.
Aisee may be na mawazo yangu huyafanyia kazi
 
Kuna mawili kma dogo syo bidhaa bhas anakukubali kma kukubali either age factor
 
Ulikutana vipi na hii familia?
Mwanzo kabisa Mimi na bro wake tulikuwa washikaji akaja kupata kazi akahama mkoa hata Instagram page yake Kuna picha yangu imo ila alikuja punguza mazoea na Mimi alivyoanza sikia natoka na mdogo wake wa kike zikabaki salamu tu
 
Wallah kaka angu angekua ananitafutia mume saizi ningekua mama wa3 mana ana jopo la kila sekta ila wakaka huwa hawatakagi kuona hata una mpenzi
 
Dogo yupo sawa sema wewe upo insecure mzee
Tatizo unalo wewe sio yeye
 
Sio kabisa mwana CCM yeye kama Mimi
Sasa kama ni hivyo tafuta kibomba kikubwa rahini kisha kivae na boksa patune haswa kisha akija home kwako kaa sebureni ukiwa hivyo ila usijishitukie kisha mdadisi macho yake kwa kuibia lazima utagundua kitu chanya au hasi ...kamwe shoga awezi kuvumilia anapo hona mkunyeke umetuna ndani ya boksa hata awe mwanajeshi mwenye cheo gani lazima utamgindua tu anaanza kutatalika anapo hona kitu kama hicho.
 
Matusi yapo ngumu ugomvi Kila kitu kipo inategemeana na unakujaje
Kumbe ndo hizo kashikashi mwanzo nilijua mtu mwenye kashikashi ni kama kina lokole au anko t😒

Ahsante kwa kunielewesha.
 
Back
Top Bottom