Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi 5 na wiki 1 wakati amepata mimba mmeshiriki sana tendo sana je mimba hiyo utaithibitishaje kua ni yako au la ? Na ile ya 1 itakuwa imeenda wapi ? Naombeni majibu.