Uhusiano kabla ya ndoa

Uhusiano kabla ya ndoa

Nditeze

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
5
Reaction score
3
Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi 5 na wiki 1 wakati amepata mimba mmeshiriki sana tendo sana je mimba hiyo utaithibitishaje kua ni yako au la ? Na ile ya 1 itakuwa imeenda wapi ? Naombeni majibu.
 
Nditeze:

The first thing for you to do ni kuongea na muhusika. Je umesha mkalisha mwenzio na kumuuliza these same questions? If yes, then what did she have to say about the timing discrepancy? In any case the only sure proof option as far as knowing kama huo ujauzito, kama majibu ya missus si muafaka, will be gettting a DNA test, other than you and/or we will only be speculating.
 
je ulitumia kipimo gani kuonyesha umri wa uja uzito?kama ni ultra sound ina weza kuonyesha kuwa uja uzito una wiki mbili mbele au wiki mbili
nyuma so hapo naona kwanza humwamini mtu wako ndo maana una wasiwasi cha kufanya subiria mtoto azaliwe upime DNA ndo moyo
wako utatulia
 
Kama ni ultra sound na wanaangalia size ya mtoto labda mtoto sio mkubwa na anaonekana kwa vipimo ana miezi hiyo midogo
Mie nimeshasumuliwa na akina dada waliozaa premature babies na watoto wao walikuwa wadogo wanaonekana na kipimo kisicho cha miezi yao

Cha muhimu apime blood pressure na iron pia na etc inaweza kuwa mtoto hakui vizuri na ale vizuri

Usimzungushe kichwa kwa sasa mlee kama baby akuzalie ndio umwambie unachofikiri ili usije poteza mtoto bure
 
Pengine ile ya mara ya kwanza alikuwa anakujaribu km uko tyr kwa hlo na kuona reaction yako..sasa alipoona uko tyr ndo kaamua kuibeba kihalisi,na kumbuka umesema mmefanya sn. So naona mwenzio hyo ndo target yake.
 
Back
Top Bottom