Uhusiano kati ya damu na tabia

Uhusiano kati ya damu na tabia

Damu Kundi "AB" waoga na wenye aibu , da mitoko na
wacheshi,wako wanafanya mambo kwa
kuongozwa na mawazo

Ni kweli kabisa imenigusa moja kwa moja. Nina uwezo mkubwa wa kuwaza, yaani Nina uwezo wa kufikiri Nina uwezo wa kuwasikiliza Watu half nikafahamu tabia huwa sihitaji kuwambiwa huyu ni nzuri au mbaya
 
Ndugu nipo group o+ hapa nyama ndio usipime yaan sifiki Sikh tatu ni mlo wa nyama na kuemdelea tu . kusamehe mpk hivi karibun nilisema kwa moyo safi kila ninaemdai nimemsaheme kws ajili ya Allah na nilikuwa nadai watu wemgi na hela nyingi sana. Yaan umeleza vya kutosha ndugu na hivo ndio nilivo.
 
Kweli Group Zero.. Yaani napenda baby vile navyo mu handle anifanyie vilevile... Akiwa ha response lazima tugombane. Kuna kaukweli pia ktk kusaidia..


Ila kuhusu kula nyama sio kivile...
 
Good job, everything u said it's true, sasa usijali ubishi wa simba na yanga hakuna elimu kwa watu wa aina hiyo, blood groups na tabia vinahusiana sana. Again good job n G. Bless
 
Mkuu, this article is according to who?, or which research?, am asking this because these things you are putting here influence people and can be very misleading, what I know so far, a habit is a repeated action, and actions are a result of what we think most, and thoughts can be a result of our programing, so, can you tell me, programming and thoughts are caused by blood groups?.
There is also the aspect of habit being genetically wired. If course with practice a habit can be replaced by a stronger one.
 
Back
Top Bottom