ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,220
Damu Kundi "AB" waoga na wenye aibu , da mitoko na
wacheshi,wako wanafanya mambo kwa
kuongozwa na mawazo
Ni kweli kabisa imenigusa moja kwa moja. Nina uwezo mkubwa wa kuwaza, yaani Nina uwezo wa kufikiri Nina uwezo wa kuwasikiliza Watu half nikafahamu tabia huwa sihitaji kuwambiwa huyu ni nzuri au mbaya