Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Kuna hii ishu imeenea kua Dada Fulani mbongo muvi, kaachwa kwa kunuka chini. Ukimthaminisha alieachwa ni mrembo kwa kweli. Na anayemsuta wa kawaida sana. Kiasi nawaza hilo la kunuka litakua limefunikwa na criteria nyinginezo.
Nawaza hivi kweli wanaume tunajali sana ishu hii ya kunuka k kiasi cha kumuacha mwanamke ?!seriously!!??
Binafsi ninaamini yako mambo mengine yanayochangia kumtosa mwanamke:-
1. Mwanamke anayeshobokea watu(flirting) mbele ya Mwanaume wake. Na hawa ni wengi sana na hawajui kua wanasomeka kirahisi sana kua hawajatulia. (It isThe Biggest reason of all.)
2. Mwanamke chapombe kupitia kiasi.
3..Mwanamke mropokaji(big mouth), 4.mwanamke Mjuaji sana.
5. Mwanamke kupe.
6. Uchafu*
In short, Mwanaume wana prefer wife material.
Hili la Kunuka nadhani linarekebishika. Ni mtazamo tu wadau....
Nawasilisha...
Cc Zinduna