Uhusiano kati ya mwanamke kunuka na kuachwa kimapenzi.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,504
Kuna hii ishu imeenea kua Dada Fulani mbongo muvi, kaachwa kwa kunuka chini. Ukimthaminisha alieachwa ni mrembo kwa kweli. Na anayemsuta wa kawaida sana. Kiasi nawaza hilo la kunuka litakua limefunikwa na criteria nyinginezo.

Nawaza hivi kweli wanaume tunajali sana ishu hii ya kunuka k kiasi cha kumuacha mwanamke ?!seriously!!??

Binafsi ninaamini yako mambo mengine yanayochangia kumtosa mwanamke:-

1. Mwanamke anayeshobokea watu(flirting) mbele ya Mwanaume wake. Na hawa ni wengi sana na hawajui kua wanasomeka kirahisi sana kua hawajatulia. (It isThe Biggest reason of all.)
2. Mwanamke chapombe kupitia kiasi.
3..Mwanamke mropokaji(big mouth), 4.mwanamke Mjuaji sana.
5. Mwanamke kupe.
6. Uchafu*

In short, Mwanaume wana prefer wife material.

Hili la Kunuka nadhani linarekebishika. Ni mtazamo tu wadau....

Nawasilisha...

Cc Zinduna
 
Unakuwa kama vile ni mgeni na wanawake?! Unamkamua mwaka mzima mkiachana anakwambia alipotea njia na kibamia chako.

Ni maneno ya wanawake tu. Mtoto mkali kama yule hawezi kunuka K.
 
Duh naona team wolper mmeanza kazi ya utetezi..
*Kunuka papuchi ni kitu ambacho hakivumilik hata kidogo hasa wakati wa kusex
*Papuch kwa maumbile yake ilivyo hata ikikaa kwa mda wa masaa 16 bila kuoshwa inaanza kutoa harufu
* Sawa kwa huyo itakuwa ni tatzo la kitabibu au la kurithi maana kama papuchi yake inanuka kiasi cha mtu anaemkula kujaza miudi chumban kabla ya pambano inawezekana keshaangaika vya kutosha.. Bora ilivyowekwa wazi kuna watu watamshauri afanye kitu gani ili kuondoa tatizo alonalo
 
Duuuh,kwa hiyo nyapu ya wolper inazalisha ung'wanyu ung'wanyu?ndo maana anaachwa na watu kibao.
 
Kuna hii ishu imeenea kua Dada Fulani mbongo muvi, kaachwa kwa kunuka chini. Ukimthaminisha alieachwa ni mrembo kwa kweli. Na anayemsuta wa kawaida sana. Kiasi nawaza hilo la kunuka litakua limefunikwa na criteria nyinginezo.

Nawaza hivi kweli wanaume tunajali sana ishu hii ya kunuka k kiasi cha kumuacha mwanamke ?!seriously!!??

Binafsi ninaamini yako mambo mengine yanayochangia kumtosa mwanamke:-

1. Mwanamke anayeshobokea watu(flirting) mbele ya Mwanaume wake. Na hawa ni wengi sana na hawajui kua wanasomeka kirahisi sana kua hawajatulia. (It isThe Biggest reason of all.)
2. Mwanamke chapombe kupitia kiasi.
3..Mwanamke mropokaji(big mouth), 4.mwanamke Mjuaji sana.
5. Mwanamke kupe.
6. Uchafu*

In short, Mwanaume wana prefer wife material.

Hili la Kunuka nadhani linarekebishika. Ni mtazamo tu wadau....

Nawasilisha...

Cc Zinduna

Urembo si hoja, mwanamke mzima na akili timamu....utanukaje papuchi? Wanasema 'Mwanamke Salo,' sasa chupi chafu, papuchi ndiyo hivyo, pengine na hata tigo na mdomo ni zaidi ya harufu ya jalala, hapa mwanamme utadinda kweli? Dada zetu jamani acheni upuuzi, usafi mwilini ni muhimu sana.
 
Unakuwa kama vile ni mgeni na wanawake?! Unamkamua mwaka mzima mkiachana anakwambia alipotea njia na kibamia chako.

Ni maneno ya wanawake tu. Mtoto mkali kama yule hawezi kunuka K.

Hivi huyu demu ni nani jamani ili tusimtongoze tukienda club.
 
d7b331adc7a31bf5fa7e40bd34f836ba.jpg
 
Urembo si hoja, mwanamke mzima na akili timamu....utanukaje papuchi? Wanasema 'Mwanamke Salo,' sasa chupi chafu, papuchi ndiyo hivyo, pengine na hata tigo na mdomo ni zaidi ya harufu ya jalala, hapa mwanamme utadinda kweli? Dada zetu jamani acheni upuuzi, usafi mwilini ni muhimu sana.
Umeongea kwa kweli.
Wengi hujisahau. Utashangaa wanawake wengine wanavaa nguo za milioni. Makeup za malaki. Mawigi ya malaki. Lkn ukija kwenye suali la usafi wa ndani zero.
Hata kama mtu una tatizo, dawa zipo.
Ila nafkiri na kufanywa fanywa sana na visiki tofauti tofauti pia kunachangia.
 
Back
Top Bottom