Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mfungo huwa ni kisingizio mkuu,jaribu kuwatizama wanaokuzunguka unaweza kugundua hii haliUngemuuliza huyo Boss ungetusaidia na sisi kuifahamu sababu.. Sasa tutabakia tunabashiri tu,
Huenda Dereva alikuwa kwenye mfungo..
Kabisa angemuuliza Boss kwann anafanya mambo ya ajabu kama haya kwa dereva wake.Ungemuuliza huyo Boss ungetusaidia na sisi kuifahamu sababu.. Sasa tutabakia tunabashiri tu,
Huenda Dereva alikuwa kwenye mfungo..
ha ha ha huo sio uzalendo mkuu,si vibaya hata yeye kumnunulia hata sodaHiyo sio sababu tusimlaumu bosi kila mtu ana utaratibu wake wa kula huenda hata Dereva lazima ale kwa mke wake.
Anatakiwa amlipie hata chakula standard ya kawaida,huo ndio utu na uhusiano mzuriKama mgahawa vyakula ni bei utamlazimisha dereva ale hapo wakati hana uwezo? Au unataka boss amlipie?
Mala nyingi madereva na watumishi wa chini huwa na sehem zao za kula so hawez kumlazimisha dereva ale hapo au amnunulieKama mgahawa vyakula ni bei utamlazimisha dereva ale hapo wakati hana uwezo? Au unataka boss amlipie?
Mala nyingi madereva na watumishi wa chini huwa na sehem zao za kula so hawez kumlazimisha dereva ale hapo au amnunulie
Maadili yapo; ila uhusiano mzuri pia ni muhimu. Ndio maana kuna baadhi ya sehemu...kuna wengine wanapenda kufanya kazi na mtu fulani kutokana aina ya uongozi anaoutumia.Kwani ni lazima kwa Boss kununulia chakula dereva?? Wewe kama ni dereva na unalipwa vizuri sio lazima udekezwe na kununuliwa chakula na boss. Vile vile kuna nidhamu za kazi, sio lazima ukale hoteli moja na boss wako au kukaa nae kwenye migahawa/bar bila sababu maalumu za kikazi. Kizazi cha dot com hamtaelewa ninaloongea hapa, kila kazi ina maadili yake!
Ile hali ya bosi anakula,huku dereva akimsubiri kwenye gari...imekaaje hii?Nakuunga mkono 100% na huwa ipo hivyo kwa madereva wengi na huwa hawalipi cash mda huo huo(wanakula kwa order wanalipa kwa wiki au mwezi).
Boss anao uhuru wa kula popote anapotaka
Ile hali ya bosi anakula,huku dereva akimsubiri kwenye gari...imekaaje hii?
Maadili yapo; ila uhusiano mzuri pia ni muhimu. Ndio maana kuna baadhi ya sehemu...kuna wengine wanapenda kufanya kazi na mtu fulani kutokana aina ya uongozi anaoutumia.
Yaap na ndio maana ikitokea bosi amesafiri hata kulala hulala mahari tofauti, sasa kwa asiyeelewa anaweza kuona kama bosi hamtendei haki dereva bila kujua wote wanalipwa per diem lakini viwango tofauti so bosi hawezi kulipwa 120,000/100,000 per diem na dereva alipwe 80,000 utegemee watakula au kulala sehemu sawa ingawa mala chache bosi mstaarabu anaweza kumpa offer dereva wakeNakuunga mkono 100% na huwa ipo hivyo kwa madereva wengi na huwa hawalipi cash mda huo huo(wanakula kwa order wanalipa kwa wiki au mwezi).
Boss anao uhuru wa kula popote anapotaka
Ile hali ya bosi anakula,huku dereva akimsubiri kwenye gari...imekaaje hii?
Pamoja na hiyo bado sio rahisi bosi na dereva kula pamoja, chukulia wamesafiri wiki tatu je bosi atamnunulie chakula dereva wiki zote tatuMaadili yapo; ila uhusiano mzuri pia ni muhimu. Ndio maana kuna baadhi ya sehemu...kuna wengine wanapenda kufanya kazi na mtu fulani kutokana aina ya uongozi anaoutumia.