Uhusiano mbaya kati ya bosi na mtumishi wake

Uhusiano mbaya kati ya bosi na mtumishi wake

Nimekwambia UN ndivyo ilivyo bado unabisha! Sema unakomaanisha... kampuni ya Mhindi, serikali ya Tanzania, nk. Usibishe kijumla jumla wakati nimekwambia UN per diem ya dereva na mkurugenzi ni sawa.
Hapana. Per diem haziko sawa. Tofautisha pesa ya chakula na per diem. Per diem inatolewa kulingana na Kiwango chako cha mshahara ikichambua entertainment unazostahili
 
Kama nimekuelewa una maana ukiwa na mtu(dereva) wewe ndio humnunulia chakula. Hivi katika buget zako huwa unatenga pesa ya kumnunulia dereva wako chakula? Dereva wako hapewi pesa ya chakula? kwa nini ununulie?
Nimelelewa katika mazingira ya kusaidiana na sikumbuki kulala na njaa kwahio sio kama nimeweka budget ya kumsaidia mtu ila ni huruma na malezi niliokulia nayo. Kuna siku nilimfanyia mmoja wao nikanunua kinywaji yeye sija mnunulia basi alinipiga jicho flani mpaka leo hubaki kujiuliza lile jicho lina maana gani.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Sehemu zingine kiwaango ni hicho hicho cha per diem. Mtatofautoana mshahara lakini siyo per diem.
Ni kweli ila kwa sehem chache nilizopita kuna tofauti ya per diem kati ya dereva ana bosi na ndio maana dereva hahangaiki na sehem wanazokula au kulala mabosi, na hiyo imefanya baadhi ya madereva kuwa na mafanikio kwakuwa ataenda kula na kulala sehem ya kawaida
 
Bosi anamshara wake na dereva anamshahara wake kwani wewe ukila kwa mamantilie au kununua karanga au supu ya pweza au al kasusu au ukila kitu chochote barabarani huwa unamwita namkeo? yeye dereva Kama ananjaa ashuke anunue msosi kwa gharama zake.
 
Hapo unamaanisha ulitaka bosi amlipie?
Kwani dereva hana mshahara?
Je dereva akitoka kwake hana bajeti ya mshahara?
Binafsi naona bosi hana kosa,,pia tambua kupiga miayo si dalili tu ya njaa,Bali hata shibe hupelekea mtu kupiga miayo na kuhitaji apumzike
 
Mlete mada hapa umechemka sana hata wewe ungekuwa dereva ungefurahi kweli kulipiwa kila wakati na boss wako?? Hio haifai ata kimaadili ya kazi kwa maana una mshahara na posho pia kwanini ulipiwe, kuna vìtu vya kuepusha na co workers wako kama ivo au Kuwalilia njaa ata unashida nenda kwa watu wa pembeni na sio hao staff wenzio unless uwe umeshibana na mtu sana. Kuna vitu unatumia tu common sense wote tunamshahara bado mimi wangu nikulipie chakula wako je? Na mtu akimaliza kula apo akirudi ofisini anampa Dereva go ahead akatafute vyakula vya bei anazo mudu
 
Nimelelewa katika mazingira ya kusaidiana na sikumbuki kulala na njaa kwahio sio kama nimeweka budget ya kumsaidia mtu ila ni huruma na malezi niliokulia nayo. Kuna siku nilimfanyia mmoja wao nikanunua kinywaji yeye sija mnunulia basi alinipiga jicho flani mpaka leo hubaki kujiuliza lile jicho lina maana gani.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Umeshawazoesha kuwanunulia eeee Itakukosti😛😛😛
 
Bosi anamshara wake na dereva anamshahara wake kwani wewe ukila kwa mamantilie au kununua karanga au supu ya pweza au al kasusu au ukila kitu chochote barabarani huwa unamwita namkeo? yeye dereva Kama ananjaa ashuke anunue msosi kwa gharama zake.
Mbaya zaidi ni ile hali yeye anabaki kwenye gari huku akikutazama unavyokula
 
Kwani wakati anasign hiyo ajira hakuona mshahara!?
Kila mtu atumie yake mkuu
 
Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa mwili afya na nguvu; akaagiza mahitaji yake naye akahudumiwa.

Mbaya zaidi alikuja na dereva wake, lakini dereva hakuhudumiwa bali yeye alibaki kwenye gari huku akipiga mihayo ya uchovu na njaa. Kilichotusikitisha wengi, ni kwa nini bosi anajihudumia yeye mwenyewe bila kumjali mfanyakazi wake? Huo sio uhusiano mzuri.
MIBOSI YA DIZAINI HIYO UJUE IMEZOEA KUHONGWA.
 
Back
Top Bottom