nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Sahihi, na kwa dereva mstaraabu anaemheshimu bosi wake atakaa zake kwenye gari amsubiri amalize kula labda bosi amuiteHii ni sahihi kabisa. Dereva subiri kwenye gari. Dereva ana muda wake wa kula. Tena anaaga kabisa boss naenda kula na anaruhusiwa kwenda.
Na maslai yao pia yapo chiniKwenda kula chakula na boss ndio uhusiano mzuri?? Ukitaka kuwa na mahusiano mazuri na waliochini yako kuna baadhi ya vitu jiepushe navyo ikiwa ni pamoja na kula/kunywa nao. Kwa mfano mimi ni boss wako nahakikisha unapata mshahara mzuri, huduma zote unazostahili unapata, unapokuwa na shida mahitaji nahakikisha unapata ila sikai na wewe tukala wote hotelini utajiona sina uhusiano mzuri na wewe dereva wangu?
Yaap na ndio maana ikitokea bosi amesafiri hata kulala hulala mahari tofauti, sasa kwa asiyeelewa anaweza kuona kama bosi hamtendei haki dereva bila kujua wote wanalipwa per diem lakini viwango tofauti so bosi hawezi kulipwa 120,000/100,000 per diem na dereva alipwe 80,000 utegemee watakula au kulala sehemu sawa ingawa mala chache bosi mstaarabu anaweza kumpa offer dereva wake
ha ha ha hawhen i grow up, najaribu kuvuta kumbukumbu......baba yangu aliniuliza ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani???? kwa haraka nikajibu DEREVA!!!! he slapped me mbele ya my mom,,,, mama akamwambia baba why? mbona kuna udereva wa aina nyingi, malori, taxi, buses...e.t.c
back to the topic....nilimuelewa baba, alikuwa na driver wa ofcn, na alikuwa ni friend of mine sana...so nikatamani ile kazi yake.......mwisho wa siku kila mmoja anao mshahara wake....na hapo boss yuko kwa msosi....driver yuko kazini....ni kazi yake.....apige miyayo,,,ajambe....ndio kazi aliyoiombba..........wengine wanawapeleka kwa michepuko,,,,,,anapaswa kukaa hapo mpaka boss at...m...e...apendavyo.......
Aise nilitamani sana kuwa dereva wkt nikiwa Mdogo, lakini nikiri tu kwamba hayakuwa matamanio sahihi! Kwa mabosi kwa kibongo atakutuma sokoni ukamnunulie vyakula vya nyumbani, mala chukua watoto wapeleke shule wakati najiandaa! Atakutuma upeleke mizigo nyumbani na mengine kama hayowhen i grow up, najaribu kuvuta kumbukumbu......baba yangu aliniuliza ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani???? kwa haraka nikajibu DEREVA!!!! he slapped me mbele ya my mom,,,, mama akamwambia baba why? mbona kuna udereva wa aina nyingi, malori, taxi, buses...e.t.c
back to the topic....nilimuelewa baba, alikuwa na driver wa ofcn, na alikuwa ni friend of mine sana...so nikatamani ile kazi yake.......mwisho wa siku kila mmoja anao mshahara wake....na hapo boss yuko kwa msosi....driver yuko kazini....ni kazi yake.....apige miyayo,,,ajambe....ndio kazi aliyoiombba..........wengine wanawapeleka kwa michepuko,,,,,,anapaswa kukaa hapo mpaka boss at...m...e...apendavyo.......
when i grow up, najaribu kuvuta kumbukumbu......baba yangu aliniuliza ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani???? kwa haraka nikajibu DEREVA!!!! he slapped me mbele ya my mom,,,, mama akamwambia baba why? mbona kuna udereva wa aina nyingi, malori, taxi, buses...e.t.c

KabisaOffer zipo kwa madereva wengi, mleta bandiko kaona tukio la siku moja anaona kama sio maadili wakati hiyo hali ishazoeleka kati ya boss na dereva wake.
Tukisema sio maadili inamaanisha tunampa jukumu boss kumgaramia dereva kwnye suala la chakula.
when i grow up, najaribu kuvuta kumbukumbu......baba yangu aliniuliza ukiwa mkubwa unataka kufanya kazi gani???? kwa haraka nikajibu DEREVA!!!! he slapped me mbele ya my mom,,,, mama akamwambia baba why? mbona kuna udereva wa aina nyingi, malori, taxi, buses...e.t.c
back to the topic....nilimuelewa baba, alikuwa na driver wa ofcn, na alikuwa ni friend of mine sana...so nikatamani ile kazi yake.......mwisho wa siku kila mmoja anao mshahara wake....na hapo boss yuko kwa msosi....driver yuko kazini....ni kazi yake.....apige miyayo,,,ajambe....ndio kazi aliyoiombba..........wengine wanawapeleka kwa michepuko,,,,,,anapaswa kukaa hapo mpaka boss at...m...e...apendavyo.......
Na maslai yao pia yapo chini
ha ha ha mtu anayekutunzia siri zako kwa nini usimjali?Kila mtu analipwa per diem sawa katika mji huo. Kwa nini dereva aweke per diem yake ili anunue kiwanja halafu bosi atumie per diem yake kumnunulia dereva chakula?
Kuhusu maslahi inategemea umeajiriwa wapi. Kuna madereva wenye mishahara na marupurupu mazuri sana tu na unaweza mtaani usijue kama huyu ni dereva kulingana na standard ya maisha yake. Kama ni dereva wa mhindi imekula kwako!
Kila mtu analipwa per diem sawa katika mji huo. Kwa nini dereva aweke per diem yake ili anunue kiwanja halafu bosi atumie per diem yake kumnunulia dereva chakula?
Hapa nataka niongee kwa experience yangu mara nyingi nikinunua kula huangalia niliekuwa nae. Lakini siku niliekuwa nae hujinunulia chakula au kinywaji pekee mimi hubaki kushangaa tu. Hapa wengi wasio nazo huwa wanajiangalia wao tu na kuona wao always ni wa kupewa tu na si wa kutoa.Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa mwili afya na nguvu; akaagiza mahitaji yake naye akahudumiwa. Mbaya zaidi alikuja na dereva wake, lakini dereva hakuhudumiwa bali yeye alibaki kwenye gari huku akipiga mihayo ya uchovu na njaa. Kilichotusikitisha wengi, ni kwa nini bosi anajihudumia yeye mwenyewe bila kumjali mfanyakazi wake? Huo sio uhusiano mzuri.
Yaap na ndio maana ikitokea bosi amesafiri hata kulala hulala mahari tofauti, sasa kwa asiyeelewa anaweza kuona kama bosi hamtendei haki dereva bila kujua wote wanalipwa per diem lakini viwango tofauti so bosi hawezi kulipwa 120,000/100,000 per diem na dereva alipwe 80,000 utegemee watakula au kulala sehemu sawa ingawa mala chache bosi mstaarabu anaweza kumpa offer dereva wake
Perdiem ya boss hata siku moja haiwi sawa na ya dereva. Lakini hii haimpi haki dereva ya kununuliwa chakula
Hapa nataka niongee kwa experience yangu mara nyingi nikinunua kula huangalia niliekuwa nae. Lakini siku niliekuwa nae hujinunulia chakula au kinywaji pekee mimi hubaki kushangaa tu. Hapa wengi wasio nazo huwa wanajiangalia wao tu na kuona wao always ni wa kupewa tu na si wa kutoa.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Wapi huko? UN mnalingana wote. Per diem hulipwa kulingana na gharama za maisha katika mji mliopo. Gharama za maisha ni sawa kwa dereva na bosi katika mji fulani. Tofauti ni mshahara na wala siyo per diem. Usiseme ... "...hata siku moja....".