Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hapana. Per diem haziko sawa. Tofautisha pesa ya chakula na per diem. Per diem inatolewa kulingana na Kiwango chako cha mshahara ikichambua entertainment unazostahili
Nimelelewa katika mazingira ya kusaidiana na sikumbuki kulala na njaa kwahio sio kama nimeweka budget ya kumsaidia mtu ila ni huruma na malezi niliokulia nayo. Kuna siku nilimfanyia mmoja wao nikanunua kinywaji yeye sija mnunulia basi alinipiga jicho flani mpaka leo hubaki kujiuliza lile jicho lina maana gani.Kama nimekuelewa una maana ukiwa na mtu(dereva) wewe ndio humnunulia chakula. Hivi katika buget zako huwa unatenga pesa ya kumnunulia dereva wako chakula? Dereva wako hapewi pesa ya chakula? kwa nini ununulie?
Ni kweli ila kwa sehem chache nilizopita kuna tofauti ya per diem kati ya dereva ana bosi na ndio maana dereva hahangaiki na sehem wanazokula au kulala mabosi, na hiyo imefanya baadhi ya madereva kuwa na mafanikio kwakuwa ataenda kula na kulala sehem ya kawaidaSehemu zingine kiwaango ni hicho hicho cha per diem. Mtatofautoana mshahara lakini siyo per diem.
Labda lakini pengine hata siku nyingine wanafanya hivyo ila siku hiyo pengine Dereva alikuwa hajisikii kutumia.ha ha ha huo sio uzalendo mkuu,si vibaya hata yeye kumnunulia hata soda
Nimelelewa katika mazingira ya kusaidiana na sikumbuki kulala na njaa kwahio sio kama nimeweka budget ya kumsaidia mtu ila ni huruma na malezi niliokulia nayo. Kuna siku nilimfanyia mmoja wao nikanunua kinywaji yeye sija mnunulia basi alinipiga jicho flani mpaka leo hubaki kujiuliza lile jicho lina maana gani.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mbaya zaidi ni ile hali yeye anabaki kwenye gari huku akikutazama unavyokulaBosi anamshara wake na dereva anamshahara wake kwani wewe ukila kwa mamantilie au kununua karanga au supu ya pweza au al kasusu au ukila kitu chochote barabarani huwa unamwita namkeo? yeye dereva Kama ananjaa ashuke anunue msosi kwa gharama zake.
ha ha ha ha wachoyo watajulikana tu,kwa kutetea hojaMjini hapa ulitaka anunuliwe mwanaume mzima na nguvu zake ?
Dalili ya uchoyo hiiKama amefunga je?
Mshahara ni mdogo,pia bosi ana posho ya chakulaKwani dereva mshahara wake anafanyia nini?
MIBOSI YA DIZAINI HIYO UJUE IMEZOEA KUHONGWA.Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa mwili afya na nguvu; akaagiza mahitaji yake naye akahudumiwa.
Mbaya zaidi alikuja na dereva wake, lakini dereva hakuhudumiwa bali yeye alibaki kwenye gari huku akipiga mihayo ya uchovu na njaa. Kilichotusikitisha wengi, ni kwa nini bosi anajihudumia yeye mwenyewe bila kumjali mfanyakazi wake? Huo sio uhusiano mzuri.
Nikikutana naye itabidi nifanye hivyoUngemnunulia kinywaji na kumuagiza mhudumu ampelekee Yule dereva Mungu angekubariki mnoo.