baraka muyabi
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 162
- 58
Nahisi ni lugha ..yanasisimka ..yaani kiujumla naumiameno yanauma au yanasisimka????
hata mimi niko hivyoNahisi ni lugha ..yanasisimka ..yaani kiujumla naumia
Isee we una homoni nyingi za uwogamimi hata nikiona wadudu wengiiii wamekaa sehemu moja, au vitundu vingiiii vipo pamoja basi mwili wote mpaka nywele zinasisismka.
Hapo sijakuelewa mkuu..popo ana uwezo kivipiNi kweli kuna sauti zingine popo ndie ana uwezo
Yaaap hata mimi kweli hapo hua naumia sana..tatizo nini hasa au ndio mzioMtu akitafuna karatasi , au akitafuna nguo, au MTU anapasua kuni shoka likakwama..dah
sio tunatofautiana?Nimeamini kweli binadamu tunafanana.....