supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Kutafuna embe bichi kwa meno, kukunja uso na kukonyeza jicho moja[emoji6] ukitafuna embe bichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapa umeniua...ni kwa jinsia zote au ...maana duuh hiyo ni zaidi ya hatariMie hata mtu akiachia ushuzi huku chini mtalimbo unasisimka sijui kwanini.
Hiyo haijalishi jinsia mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapa umeniua...ni kwa jinsia zote au ...maana duuh hiyo ni zaidi ya hatari
Tupo same but not similar....sio tunatofautiana?
Kwenye hili mie hadi naanza na kuwashwa na tuvipele tunatoka, hapa umeandika nishajisikia vibayamimi hata nikiona wadudu wengiiii wamekaa sehemu moja, au vitundu vingiiii vipo pamoja basi mwili wote mpaka nywele zinasisismka.
Utakuwa hutumii chandarua wewe!mimi hata nikiona wadudu wengiiii wamekaa sehemu moja, au vitundu vingiiii vipo pamoja basi mwili wote mpaka nywele zinasisismka.