Uhusiano uliopo baina ya kusugua bati/sinia kwenye mchanga na meno

Uhusiano uliopo baina ya kusugua bati/sinia kwenye mchanga na meno

Kutafuna embe bichi kwa meno, kukunja uso na kukonyeza jicho moja[emoji6] ukitafuna embe bichi
 
mimi hata nikiona wadudu wengiiii wamekaa sehemu moja, au vitundu vingiiii vipo pamoja basi mwili wote mpaka nywele zinasisismka.
Kwenye hili mie hadi naanza na kuwashwa na tuvipele tunatoka, hapa umeandika nishajisikia vibaya
 
Back
Top Bottom