Uhusiano uliopo baina ya kusugua bati/sinia kwenye mchanga na meno

Uhusiano uliopo baina ya kusugua bati/sinia kwenye mchanga na meno

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana jamvi..naomba kujua mahusiano yaliyopo baina meno na bati/sinia..mimi mwenyewe niko hivi mtu akisugua sinia la bati kwenye sakafu au mchanga kile kijisauti kinachotoka huwa kinanifanya meno yangu kuuma sana..nauliza sasa je kuna uhusiano gani katika vitu hivi viwili
 
A 2011 study by musicologists Michael Oehler and Christoph Reuter has led its authors to hypothesize that the unpleasantness of the sound is caused by acoustic resonance due to the shape of the human ear canal which amplifies certain frequencies, especially those in the range of 2000 to 4000 Hz (the median pitches mentioned above), at such a level that the sound would trigger pain in our ears.

nimegoogle nikapata hiyo hypothesis......
 
Ni kweli na mimi nashindwa kukaa karibu na mtu anayetafuna sugar cane
 
Mtu akitafuna karatasi , au akitafuna nguo, au MTU anapasua kuni shoka likakwama..dah
 
Kumbe siko peke yangu ... yani mm hata mfuko wa kaki ule mgumu mgumu ukichwana au kusuguliwa chini... nasisimka meno na mwili
 
Back
Top Bottom